Viongozi Homa Bay waahidi kusitisha uhasama na kumtafutia Ruto Tutam
VIONGOZI wa ODM kutoka Kaunti ya Homa Bay ambao walikuwa na uhasama wameahidi kuungana ili kupiga jeki juhudi za kumtafutia Rais William Ruto kura eneo hilo. Waziri wa Fedha John...