Simulizi za waraibu wa dawa za kulevya na maisha ya kutengwa, kudharauliwa
Mwanza. “Nilitengwa na jamii, hadi familia yangu... hata paka wa nyumbani alikuwa na thamani kubwa. Nikienda kuchukua chakula napewa nje ya geti kwenye mfuko.” Hiyo ni simulizi ya...