Latest updates for Vijana Wenye Bunifu Za Kilimo

Fresh curated links around Vijana wenye bunifu za kilimo are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Bunifu za kilimo zilivyotuza vijana hawa
  • Kijana aliyeamua kulima avokado badala ya kusubiri ajira
  • Umekanishaji unavyobadilisha sura ya kilimo Kenya

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Bunifu za kilimo zilivyotuza vijana hawa

WAKATI vijana wengi wakikimbilia ajira za mijini, kundi la wabunifu wa teknolojia ya kilimo nchini sasa linaonyesha kuwa sekta ya kilimo inaweza kuwa chanzo kikubwa cha mapato, aji...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kijana aliyeamua kulima avokado badala ya kusubiri ajira

VIJANA wengi wanapofuzu kutoka vyuoni humu nchini, maombi yao huwa ni wapate kazi katika nyanja walizozisomea ndiposa wakubali kuwa wamepata ufanisi katika masomo yao. Ni nadra sa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Umekanishaji unavyobadilisha sura ya kilimo Kenya

KWA miaka mingi, wakulima Kenya wamekuwa wakitegemea majembe ya mikono na nguvu zao wenyewe kuendeleza shughuli za kilimo. Kuanzia kupanda, kupalilia, kunyunyizia mimea dawa ha...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Teknolojia inavyowanasua vijana janga la ajira

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Jinsi kilimo cha hoho kinavyompiga jeki mashinani

TAKRIBAN kilomita tatu kutoka barabara ya Elburgon-Njoro, tulifika kwenye mpaka wa mashamba ya Tegat na Nyakiambi katika Kaunti Ndogo ya Molo ambapo Susan Wairimu hukuza pilipili h...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

AI inavyomsaidia kukuza stroberi zinazovutia masoko ya hadhi ya juu

AKIWA ndani ya kivungulio chake Mwihoko, Kaunti ya Kiambu, Anthony Ngatia anasimama kando ya mistari ya mimea ya stroberi akiwa na simu mkononi—si kwa mazungumzo, bali kuchanganua...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi ya kulima stroberi

ANTHONY Ngatia, mkulima barobaro kutoka Kaunti ya Kiambu, amekuwa akikuza stroberi tangu mwaka 2024, na kuifanya matunda hayo kuwa chanzo chake kikuu cha mapato. Kwa muda, mkulima...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Wakulima Simiyu wataka mbegu zinazohimili mabadiliko ya tabianchi

Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa baadhi ya mbegu zilizoboreshwa zina uwezo wa kuhimili ukame, magonjwa pamoja na kuongeza mavuno kwa hekta, huku aina kadhaa zilizofanyiwa utafiti...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vigezo ‘Vijana Uchumi Challenge’ vyawekwa hadharani, mshindi kulamba Sh30 milioni

Wakati pazia la shindano la wazo bora la kiuchumi lililopewa jina la ‘Vijana Uchumi Challenge’ likiwa limefunguliwa, vigezo vya kushiriki vimewekwa wazi, huku mshindi akitarajiwa k...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Analenga kilimo cha kuhifadhi mazingira

TULIPOMTEMBELA Judith Munyasa katika kijiji cha Nzoia A, Kaunti ya Bungoma, tulimpata akikagua viazi alivyovuna siku chache zilizopita. Pamoja na wanawe, Judith, aliyejaaliwa wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Iringa yaandaa maonyesho ya kilimo kuwanufaisha wakulima

Mkoa wa Iringa umepanga kufanya maonyesho ya kilimo kuanzia Julai 13 hadi 19, 2026 katika viwanja vya Kihesa Kilolo ili kuinua sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya c...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wakulima wa kahawa watakiwa kuachana na kilimo cha mazoea

Serikali imewataka wakulima wa kahawa nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kuzingatia kilimo cha kisasa chenye tija ili kuongeza uzalishaji, kuboresha ubora wa kahaw...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Wazazi wanavyoua ubunifu kwa watoto wanapokosea

Umewahi kujiuliza kwa nini watoto wengi wanalalamikiwa kwa kukosa ubunifu?

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Wawakilishi waikalia kooni Wizara ya Kilimo, wakiitaka kutumia teknolojia

Wakati Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ikiomba kuidhinishiwa Sh181.8 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27 kutekeleza miradi 10 ya maendeleo, wajumbe wa Baraza la W...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wazazi wapewa somo kulea vipaji vya watoto nje ya darasa

Ili kuwafanya watoto wajiamini, wawe wadadisi wa mambo pamoja na kuwaandalia mazingira bora ya ajira baadaye, wazazi na walezi wametakiwa kuwekeza katika ujuzi mbalimbali walionao...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Akili Mali: Siri ya kuwa milionea kwa kukuza vitunguu

VITUNGUU ni kati ya mimea inayochukua muda mfupi kukomaa inayokuzwa na wakulima wengi nchini hasa wenye chanzo cha maji, japo hawajaweza kuziba pengo la uzalishaji. Hilo, linalazi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vikwazo vya wanawake katika kilimo licha ya mchango wao mkubwa

Licha ya wanawake kuchangia karibu asilimia 40 ya nguvu kazi ya kilimo duniani na kuwa na mchango mkubwa nchini Tanzania, bado wanakabiliwa na changamoto za kimfumo, zikiwemo umili...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi ya kulima nyasi ya Juncao

JUNCAO ni teknolojia mpya ya nyasi za mifugo ambayo taifa likiikumbatia kikamilifu huenda itaipa sekta ya ufugaji Kenya afueni hasa kipindi hiki bei ya malisho inazidi kuwa ghali....

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wabunge wataka Sh200 bilioni ziende Wizara ya Vijana

Wabunge wametaka njia rahisi ya upataji mikopo kwa vijana ikiwemo unafuu wa masharti, dhamana, usimamizi, kutokuundwa kwa vikundi pamoja na utolewaji wa elimu.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Jinsi kaunti kame zinavyojenga upya uchumi kupitia kilimo himilivu kwa tabianchi

KWA miaka mingi, ukame, mvua zisizotabirika na upotevu wa mifugo vimekuwa vikitatiza maeneo kame na nusu-kame (ASAL) nchini. Lakini simulizi hiyo inaanza kubadilika. Badala ya...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mwelekeo mpya bei ya Cocoa

Wakati matumaini yakirejea kwa wakulima wilayani Kyela kufuatia bei ya cocoa kupanda, wadau na Serikali wametaja mikakati na mipango kuhakikisha zao hilo linaendelea kupaa, huku wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Apata tija katika kilimo cha miwa kama ‘tunda’ la kutafuna na kukamua juisi

WADI za Ibeno na Keumbu katika eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii ni maarufu sana katika ukuzaji wa miwa ya kutafuna. Unapozuru maeneo hayo kwa mara ya kwanza, utakari...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Daktari asimulia majukumu mengi yalivyoleta ubunifu wa mfumo kuokoa watoto

Mara zote ubunifu hufanyika pale ambapo unataka kurahisisha ufanyaji wa kazi fulani, wakati mwingine bila kujua hatua hii inaweza kusaidia maelfu ya watu na kuboresha huduma za jam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wakulima wahimizwa kuepuka pembejeo feki za kilimo

Kwa mara nyingine tena wakulima katika eneo la Nyanza wamepokea hamasisho kuhusu namna ya kukabiliana na pembejeo feki. Hatua hii inalenga kuwaepusha na hasara zinazotokana na u...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Vijana Wenye Bunifu Za Kilimo

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source