Wetang’ula, Mudavadi waambia Sifuna bado hajaiva kupata kura kila pembe ya nchi
VITA vya kisiasa vya kung’ang’ania kura za Magharibi vimezidi kushika kasi baada ya Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kupinga azma y...