Mashirika ya usalama yalipewa Sh44.6 bilioni Julai, ongezeko kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa
WIZARA ya Fedha ilitengea mashirika ya usalama jumla ya Sh44.6 bilioni mwezi Julai, hatua inayodhihirisha ufadhili mkubwa wa sekta hiyo katika mwaka wa mwisho wa serikali kabla ya...