Serikali yalaumiwa kupuuza hali halisia ya kiuchumi kwa kurejesha e-Citizen kwa ulipaji karo
KUMEZUKA malalamiko mapya kufuatia uamuzi wa Rais William Ruto wa kufufua mpango wa malipo ya karo za shule kupitia mfumo wa e-Citizen, wakosoaji wakilaumu serikali kwa kupuuza hal...