Latest updates for Uhaba Wa Nyanya Sokoni

Fresh curated links around Uhaba wa nyanya sokoni are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Nyanya zageuka bidhaa za ‘matajiri’ moja ikiongezeka hadi Sh25 ndani ya wiki mbili
  • Bei ya nyama yapanda maradufu wateja nao wakipotea na kuacha wenye bucha matatani
  • Uchafu wazua taharuki mnada wa Maswa, wafanyabiashara walalamika

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Nyanya zageuka bidhaa za ‘matajiri’ moja ikiongezeka hadi Sh25 ndani ya wiki mbili

WAKENYA wengi sasa wameshindwa kumudu bei ya nyanya ambayo imepanda kwenye masoko mbalimbali jijini Nairobi Uchunguzi uliofanywa na Taifa Leo katika masoko makubwa umeonyesha kuwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Bei ya nyama yapanda maradufu wateja nao wakipotea na kuacha wenye bucha matatani

BEI ya nyama ya ng’ombe nchini imepanda kwa kiasi kikubwa katika miezi ya hivi karibuni, huku kilo moja ikiuzwa sasa kati ya Sh750 na Sh900 katika masoko na maduka ya nyama, kutoka...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Uchafu wazua taharuki mnada wa Maswa, wafanyabiashara walalamika

Malalamiko ya wafanyabiashara na wananchi yameongezeka katika Mnada wa Maswa Mjini baada ya marundo ya taka kuonekana yakikaa kwa muda mrefu bila kuondolewa, hali inayodaiwa kuhata...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mgomo wa mafuta waanika jinsi Mombasa hutegemea bara kwa chakula

UPUNGUFU mkubwa wa bidhaa muhimu katika Soko la Kongowea mjini Mombasa wakati wa mgomo kuhusu bei ya mafuta uliotamatika Jumanne, ulifichua jinsi jiji hilo hutegemea kikamilifu usa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kinamama wafanyakazi na mustakabali wa watoto

Katika kipindi ambacho mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanaendelea kuibadilisha sura ya familia za mijini, nafasi ya mama nayo imebadilika kwa kasi kubwa.

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Hofu kupanda gharama za maisha

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mwamko wa wazazi unavyofifisha utoaji chakula shuleni

Wakati changamoto ya watoto kushindwa kupata chakula shuleni ikizidi kuathiri ujifunzaji, hali hiyo imetajwa kuchangiwa na mwamko duni wa wazazi.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda

Baadhi ya wananchi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya rejareja mkoani humo kuwapandishia bei ya sukari kiholela, wakisema hali hiyo inazidi kuw...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wananchi walalama soko la Ndala kugeuka makazi ya popo

Zaidi ya miaka 10 tangu kuanza kwa ujenzi wa Soko la Ndala kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wananchi wa kata hiyo wameibuka na kilio kipya wakiiomba Serikali kulinusuru...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Sababu za wakulima Nyanza kuonywa kuhusu pembejeo feki

Wakulima katika eneo la Nyanza wameendelea kuonywa kuhusu hatari ya kutumia pembejeo feki, hatua inayolenga kuokoa maelfu ya wakulima dhidi ya hasara za kiuchumi na kuporomoka kwa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Daladala Mbeya zagoma, wananchi walia nauli kupanda

Kupanda kwa bei ya mafuta hususani petroli, makali yameanza kung'ata jijini Mbeya baada ya usafiri wa daladala kuweka 'mgomo' kutoa huduma huku wananchi wakilia na nauli za bajaji...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Baada ya gesi, sasa saruji bei juu

Soma hapa..

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Uhaba wa mafuta waanza kuripotiwa maeneo mbalimbali nchini

MAENEO kadhaa nchini yanakabiliwa na uhaba wa mafuta huku ikihofiwa kwamba wafanyabiashara wanahodhi bidhaa hiyo. Kero hiyo inayohusishwa na utatizwaji wa soko la dunia huku tahar...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Maoni kinzani ongezeko la nauli

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wataalam waonya kuhusu bidhaa za kusafisha uke zilizokumbatiwa na wanawake wengi

SOKO la bidhaa za kutunza sehemu nyeti limeshika kasi katika miaka ya majuzi likijumuisha madai ya kupotosha yanayopigiwa debe na kusambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Bidhaa hi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Hasara ambayo wauzaji maua nje ya nchi walikadiria wakati wa mgomo wa matatu

BARAZA la Maua Kenya (KFC) linakadiria kuwa kati ya tani 100 hadi 200 za maua zilizokuwa zimepangwa kusafirishwa nje ya nchi mnamo Jumatatu, Mei 18, 2026, zilicheleweshwa au kuathi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kilio kipya walioungulia bidhaa Simu 2000

Sakata la kuungua kwa Soko la Simu 2000, Ubungo jijini Dar es Salaam limeibua mahitaji tofauti miongoni mwa wafanyabiashara; wapo waliodai wako tayari kurudi sokoni hata kwa mitaji...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

ZFDA yateketeza tani 4.8 za maziwa ya watoto yaliyochafuliwa

Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeteketeza tani 4.8 za maziwa ya watoto aina ya S.M.A namba moja, baada ya kubainika kuwa yamechafuliwa na kemikali ya Cereulide inayotok...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Bei ya mafuta yazidi kung’ata, usafiri wa umma wapungua

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Hofu yaibuka biashara ya mishkaki ikishika kasi kando ya Barabara Morogoro

Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wameeleza wasiwasi wao kuhusu usalama wa afya kufuatia kuongezeka kwa biashara ya mishkaki na ndizi za kuchoma kando ya barabara ya Barab...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Usalama wa nyama hatarini, machinjio ya Kisakasaka Z’bar

Wafanyabiashara na wataalamu wa mifugo wamesema machinjio yanayotumiwa kwa sasa ya Kisakasaka Mkoa wa Mjini Magharibi hayafai kwa ajili ya usalama na afya za watumiaji, hivyo wamei...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Jinsi kilimo cha hoho kinavyompiga jeki mashinani

TAKRIBAN kilomita tatu kutoka barabara ya Elburgon-Njoro, tulifika kwenye mpaka wa mashamba ya Tegat na Nyakiambi katika Kaunti Ndogo ya Molo ambapo Susan Wairimu hukuza pilipili h...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wakulima wahimizwa kuepuka pembejeo feki za kilimo

Kwa mara nyingine tena wakulima katika eneo la Nyanza wamepokea hamasisho kuhusu namna ya kukabiliana na pembejeo feki. Hatua hii inalenga kuwaepusha na hasara zinazotokana na u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mgomo wa matatu dhidi ya mafuta ulivyonogesha biashara yake ya miwa

MGOMO wa wahudumu wa matatu ambao umesitishwa kwa muda wa siku saba ukiendelea, baadhi ya wachuuzi wa bidhaa za kula katika Kaunti ya Nairobi walitumia jukwaa hilo kuvuna hela. Mm...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Uhaba Wa Nyanya Sokoni

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source