Latest updates for Ufisadi Katika Kaunti

Fresh curated links around Ufisadi katika kaunti are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • EACC yafichua mtandao mpana wa maafisa wa kaunti kutumia wanafamilia kufyonza mamilioni
  • Kaunti zilipa Sh8.3 bilioni kama mishahara bila kufuata kanuni
  • Kaunti zafungua akaunti 1,411 zaidi kinyume cha sheria

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

EACC yafichua mtandao mpana wa maafisa wa kaunti kutumia wanafamilia kufyonza mamilioni

TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imefichua mtandao mpana wa ufisadi katika serikali za kaunti ambapo maafisa wa umma wanadaiwa kutumia watoto, wake na jamaa zao wa ka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Kaunti zilipa Sh8.3 bilioni kama mishahara bila kufuata kanuni

SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ambayo imeibua hofu kuhusu matumizi mabaya ya fedha za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Kaunti zafungua akaunti 1,411 zaidi kinyume cha sheria

SERIKALI za kaunti zimefungua akaunti nyingine 1,411 zamdhibiti katika mwaka uliomalizika Juni 2026, hatua iliyoongeza idadi ya akaunti zinazodaiwa kuendeshwa kinyume cha sheria ha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Kenya miongoni mwa mataifa fisadi zaidi Afrika, duniani – ripoti

KENYA imeorodheshwa katika nafasi ya 137 duniani katika kupambana na ufisadi, huku ripoti mpya ikionyesha kudhoofika kwa uhuru wa mahakama na baadhi ya haki za kiraia. Ripoti ya m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Sakata ya ulaghai wa Sh6.2bn serikalini yachunguzwa

SERIKALI imeanzisha shughuli ya kuwahesabu wafanyakazi katika utumishi wa umma ana kwa ana kufuatia uchunguzi wa madai ya ulaghai wa Sh6.2 bilioni kupitia mfumo wa ulipaji mishahar...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Serikali ya Sakaja yafyonza Sh125 bilioni miradi ikikwama

GAVANA wa Nairobi, Johnson Sakaja, aliingia ofisini mwaka wa 2022 akiwa na ahadi kubwa ya kuhakikisha kuwa mambo yanaenda sambamba Nairobi lakini miaka minne baadaye takwimu za mat...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ni kaunti 10 pekee ndizo zilitumia asilima 70 ya fedha kwa maendeleo-Ripoti

KAUNTI 10 zinaongoza katika matumizi ya fedha za maendeleo katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, huku kila moja ikitumia zaidi ya asilimia 70 ya bajeti iliyotengewa miradi ya maend...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Vyeti feki vyanoga miongoni mwa wanaoajiriwa serikalini

WAKENYA wanaotumia vyeti ghushi vya masomo kupata ajira, vyeo na mishahara mikubwa sasa wanaandamwa huku hukumu za hivi majuzi zikifichua jinsi barua hizo zimekuwa zikitumiwa kuing...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

EACC Arrests County Official, Orders Two Others to Surrender

The county official and other suspects are alleged to have been involved in the unlawful acquisition of public property, money laundering, and dealing with proceeds of crime involv...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sintofahamu ekari 20 za mazao ya wananchi kufyekwa Karatu, DC afunguka

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Hospitali za kaunti 37 zakaukiwa dawa

HOSPITALI za umma katika kaunti kadhaa zinakabiliwa na uhaba wa dawa muhimu na vifaa vya matibabu huku baadhi ya serikali za kaunti zikitenga fedha nyingi kwa safari na makongamano...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Othman awasihi wazee kuache uchawa

Mwenyekiti huyo, amesisitiza kuwa ikiwa Wazee watakuwa chawa kwa kuwawalinda wanaofanya ufisadi, maendeleo hayawezi kupatikana na jambo hilo sio sahihi wala halistahiki kwao.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kaunti zapambana kuokoa huduma za Ukimwi baada ya ufadhili wa Amerika kukatika

KUPUNGUZWA ghafla kwa ufadhili wa kimataifa wa afya kumezilazimisha kaunti zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi kubuni njia mpya za kuhakikisha huduma haziathir...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Magavana wanane walemewa na madeni ya mabilioni waliyorithi kutoka kwa watangulizi wao

RIPOTI mpya ya Mdhibiti wa Bajeti imeibua wasiwasi kuhusu ongezeko la madeni katika serikali za kaunti, huku magavana wanane wa muhula wao wa kwanza wakishindwa kulipa yale ya zama...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

242 wakamatwa Kilimanjaro kwa uhalifu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewakamata watu 242 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa maadili, kukutwa na nyara za Serikali na usafirishaji wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Jaji afuta uamuzi wa kuondolea Oparanya mashtaka ya ufisadi

MAHAKAMA Kuu imebatilisha uamuzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) wa kuacha kumshtaki Waziri na aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuhusu madai ya ufis...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Detectives Arrest Govt Official Over Ksh100,000 Bribe

The latest development comes amid heightened efforts by the anti-graft body to curb bribery and corruption in public service across the country.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Wahofia vijiwe vya kahawa kuficha wahalifu

Wakazi wa Jiji la Mwanza wamehofia baadhi ya vijiwe vya kahawa kutumiwa kama maficho ya watu wanaojihusisha na uhalifu, kutokana na mikusanyiko ya watu wanaokaa katika maeneo hayo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Nairobi, Nakuru zadaiwa Sh75.7 bilioni

KAUNTI za Nairobi na Nakuru zinadaiwa Sh75.7 bilioni za mapato ambayo hayajalipwa, kiasi kinachozidi madeni yanayodaiwa na kaunti 45 zilizosalia kwa pamoja. Kiasi hicho ni zaidi y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Wakazi wafidiwa Sh350 milioni kwa madhara ya jaa la taka

MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi imeamuru Serikali ya Kaunti ya Mombasa kuwalipa zaidi ya wakazi 200 wa eneo la Mwakirunge fidia ya Sh350 milioni kutokana na ukiukaji wa haki yao ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Serikali inavyolipa mabilioni kutokana na blanda za maafisa wake

WALIPA ushuru nchini wanaendelea kubeba mzigo mkubwa wa kifedha kutokana na maamuzi ya serikali ambayo baadaye yanabainika kuwa yalikiuka sheria, yalitekelezwa vibaya au yalikiuka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Balaa kaunti ikikosa jaa la taka

WAKAZI wa mji wa Bomet wanakabiliwa na tatizo kubwa baada ya kaunti hiyo kukosa jaa rasmi la kutupa taka. Hali hiyo imesababisha mapipa ya taka katika sehemu mbalimbali za mji kuru...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mwanamume ashtakiwa kumtapeli mwanamke Sh1,860 za meko ya Sun King

MWANAMUME anayeshutumiwa kwa kujipatia kwa njia ya udanganyifu Sh1,860 kutoka kwa mwanamke kwa kisingizio cha kumuuzia jiko la gesi ya LPG kutoka Sun King, alifikishwa katika Mahak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wavinya akataa marekebisho ya madiwani kupunguza bajeti ya kaunti

MZOZO wa bajeti kati ya Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti na baadhi ya madiwani wa Bunge la Kaunti umechacha baada ya gavana huyo kukataa marekebisho yaliyofanywa kwenye bajeti ya S...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ufisadi Katika Kaunti

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source