Namna suala la ubabedume limeangaziwa katika riwaya ya ‘Nguu za Jadi’
JUMA hili tunaangazia taasubi za kiume kwa kurejelea dondoo lifuatalo: “Nyinyi mna maswali mengi. Si mngoje kwanza nimalize kusimulia halafu mniulize maswali?” (a) Eleza muktadha...