Latest updates for Ubabe Wa Joho Na Mvuyra Pwani

Fresh curated links around Ubabe wa Joho na Mvuyra Pwani are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Abu Joho azuru maskani Pwani kunyanyua vijana wa mtaa akiendelea kujitambulisha kisiasa
  • Nyufa zaongezeka ndoa ya UDA na ODM viongozi Pwani wakigawanyika
  • Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Abu Joho azuru maskani Pwani kunyanyua vijana wa mtaa akiendelea kujitambulisha kisiasa

BWANYENYE wa Mombasa, Abu Joho, ambaye pia ni ndugu wa Waziri wa Madini na Uchumi wa Bahari, Hassan Joho, amewahimiza vijana wa Pwani kutokata tamaa maishani na badala yake wajitum...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Nyufa zaongezeka ndoa ya UDA na ODM viongozi Pwani wakigawanyika

LICHA ya chama tawala UDA na kile cha ODM kuungana katika Serikali Jumuishi, migawanyiko ya viongozi kutoka eneo la Pwani inaendelea kujitokeza huku wafuasi wa vyama hivyo wakionye...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’

WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: ODM pabaya vyama vya UDA na Wiper vikipenya eneo la Pwani

ENEO la Pwani ambalo kwa muda limekuwa ngome ya chama cha ODM sasa linaonekana kuponyoka ‘mtego’ was chama cha chungwa ambacho kwa sasa kinakumbwa na mgogoro ndani ya uongozi. V...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki ajipange? Ndoto ya Joho kuwa naibu wa Ruto yapigwa jeki

VIONGOZI wakuu katika Chama cha ODM wamekubaliana na wanasiasa wanaomtaka Waziri wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika Uc...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

UDA watia bidii kunasa kura 1.9 milioni ukanda wa Pwani 2027

JUHUDI za mirengo ya kisiasa kutaka kunasa kura zaidi ya milioni 1.9 za Pwani, zimeshika kasi huku viongozi wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) wakiandaa mikutano ya kuwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sababu za Gachagua ‘kumuuzia’ Kalonzo Jicho Pevu

Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kuwa upinzani umefikia makubaliano ya pamoja ya kumuidhinisha Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kuwania kiti cha ugavana kaunti ya Mombasa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wanga, Mbarire wavikwa unahodha wa ndoa kati ya UDA na ODM

UAMUZI wa Rais William Ruto na Seneta Oburu Oginga wa Siaya kuteua Gavana wa Homa Bay, Gladys Wanga, na mwenzake wa Embu, Cecily Mbarire, kuongoza mazungumzo kati ya Orange Democra...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ziara 38 zilizofungulia Ruto ‘bedroom’ ya ODM

Ziara za mara kwa mara za Rais William Ruto katika eneo la Nyanza tangu ukuruba wake na marehemu Raila Odinga zimeanza kubadili mwelekeo wa kisiasa eneo hilo, huku viongozi wa ODM...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ukaribu wa Ababu na chama cha ODM waibua joto la kisiasa

UHUSIANO wa karibu unaochipuka chini kwa chini baina ya aliyekuwa Mbunge wa Budalang’i Ababu Namwamba na ODM, umeibua maswali iwapo waziri huyo wa zamani huenda analenga kuwania ki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Katibu Fikirini akiri jinsi Joho, Raila walivyomsaidia kupata kazi

RAIS William Ruto amesisitiza kujitolea kwa serikali yake kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kuchangia kwa maendeleo ya nchi. Akizungumza katika eneo la Ganze wakati wa ibada...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mbadi aonekana kujipanga kuwa kigogo Nyanza baada ya mauti ya Raila

WAZIRI wa Fedha John Mbadi anaonekana kuimarisha juhudi za kudhibiti siasa za Luo Nyanza na kuamua mwelekeo wa ODM baada ya mauti ya marehemu Raila Odinga. Akiwa kati ya wanasiasa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto, Gachagua, wang’ang’ania Nyoro 2027 ukikaribia

MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amejikuta katikati ya mvutano mkali wa kisiasa Mlima Kenya, ambapo mirengo mikuu ya kisiasa inammezea mate kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Baad...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

“Tutampa Tikiti”: Kalonzo Declares Mohamed Ali Opposition Flagbearer for Mombasa Governor

Wiper Patriotic Front (WPF) leader Kalonzo Musyoka has officially endorsed Nyali MP Mohamed Ali as the United Opposition’s candidate for the Mombasa gubernatorial race in 2027. Spe...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhasama watokota tena kati ya DCP na Jubilee kuhusu Ol Kalou

UHASAMA wa kisiasa unazidi kutokota kati ya Jubilee na DCP baada ya vyama hivyo viwili kusema vitakuwa na mgombeaji kwenye uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Baada ya DCP kuandaa mchujo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /6 days ago

Huenda Ruto akawafuta kazi mawaziri ‘wataalamu’ wa ODM

LICHA ya wito kutanda kuwa mawaziri John Mbadi (Fedha) na Opiyo Wandayi (Kawi) wajiuzulu wakati wa maandamano ya kupinga bei ya juu ya mafuta wiki hii, maswali yameibuka iwapo Rais...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Tuko sawa na Ruto lakini UDA isitudharau, asema Oburu

Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Oburu Oginga jana alisema kuwa mazungumzo yanayopendekezwa kati ya ODM na United Democratic Alliance (UDA) hayako hatarini, a...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kundi la Linda Mwananchi linaloongozwa na Sifuna, Babu lapokelewa kwa kishindo Kisumu

VIONGOZI wa Linda Mwananchi jana waliteka jiji la Kisumu kwa kishindo huku wakidai wao ndio wana maono ya marehemu kigogo wa siasa za Luo Nyanza Raila Odinga. Gavana wa Siaya Ja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Orwoba aendelea kuhemesha chama cha UDA

ALIYEKUWA Seneta Maalum, Bi Gloria Orwoba, anaonekana kulemea chama cha United Democratic Alliance (UDA) kilichompokonya wadhifa huo. Orwoba ameshinda msururu wa kesi dhidi ya c...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Uteuzi wa Munisi waibua mjadala

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Vigogo wa Meru sasa wasaka maridhiano na Kawira

BAADHI ya viongozi kutoka Kaunti ya Meru waliohusika katika kumbandua gavana wa zamani Kawira Mwangaza mamlakani, sasa wanasaka kuridhiana naye kuelekea uchaguzi huo. Viongozi hao...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

“ODM Must Take DP Slot”: Gladys Wanga Backs Hassan Joho for 2027 Power-Sharing Deal

Homa Bay Governor Gladys Wanga has proposed that the ODM party secure a deputy president slot for former Mombasa Governor Hassan Joho in any potential 2027 political alliance with...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna apambana vikali na Oburu

MVUTANO unaoendelea kati ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na Katibu wake Mkuu Edwin Sifuna unaashiria dalili za kudumu kwa muda mrefu. Bw Sifuna, ambaye ameshtakiwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua, Matiang’i kung’ang’ania kiti cha eneobunge la Ol Kalou

SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ubabe Wa Joho Na Mvuyra Pwani

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source