Latest updates for Ugonjwa

Fresh curated links around UGONJWA are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Safari yake baada ya kubainika kuugua ugonjwa wa lupus
  • Ukweli mchungu magonjwa ya moyo
  • Burudani zinapopora usingizi, kuhatarisha afya ya umma -1

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Safari yake baada ya kubainika kuugua ugonjwa wa lupus

AKIWA shuleni alijulikana kuwa miongoni mwa wanafunzi waliotia fora masomoni na kuwa kati ya watatu bora kwenye kila mtihani. Hatua hiyo ilimpa motisha, Purity Nkatha kuyapenda...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Ukweli mchungu magonjwa ya moyo

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Burudani zinapopora usingizi, kuhatarisha afya ya umma -1

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wataalam waelezea hofu ya kaswende kukosa kugunduliwa mapema kwa wanawake

MAAMBUKIZI ya kaswende kwa wanawake yameongezeka pakubwa katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita, huku wataalam wakionya kuwa gonjwa hilo huenda linaachwa bila kugunduliwa kwa sab...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Tamu, chungu kupigana busu kiafya

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kutoboa kitovu, ulimi urembo wenye majuto, tahadhari za kiafya

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Uvumi wa ‘kupoteza uume’ wazua hofu, vifo na mashambulizi Pwani

KILICHOANZA kama uvumi wa ajabu sasa kimegeuka kuwa chanzo cha hofu, vurugu na vifo katika baadhi ya maeneo ya Pwani, huku polisi na wataalamu wa afya wakikanusha madai kwamba mwan...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Sababu wagonjwa wengi kuchelewa matibabu ya saratani

Kila siku mamia ya watu hupita kwenye lango la Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) jijini Dar es Salaam, wakibeba matumaini ya kupata majibu ya afya zao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Tahadhari ya Ebola yaongezeka, Tanzania ilivyojipanga

Wakati huohuo, Uganda imethibitisha wagonjwa wawili wa Ebola mjini Kampala jana Mei 17, 2026 mmoja wao akiwa amefariki dunia.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Aina mpya ya muhogo unaostahimili maradhi yanayoharibu zao zima kwa mpigo

JULIA Njagi anatembea kwa umakini katika shamba la majaribio ya ukuzaji wa aina mpya ya mihogo katika Shirika la Utafiti wa Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo (Kalro), Kandar...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

‘Wagonjwa wengi wa shinikizo la damu hawajitunzi'

Licha ya idadi kubwa ya wagonjwa wa shinikizo la damu nchini kuwa na uelewa mzuri kuhusu namna ya kudhibiti ugonjwa huo, wengi wao bado hawafuati ipasavyo mbinu za kujitunza zinazo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wataalam waonya kuhusu maambukizi ya Kaswende jiji la Nairobi likiongoza

IDADI ya Wakenya wanaojitokeza kupimwa ugonjwa wa kaswende imeongezeka kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi majuzi, huku wataalamu wa afya wakionya kuwa watoto wengi bado wanazal...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wito Wakenya wawe macho huku virusi vya Ebola vikisambaa kwa kasi

HUKU Kenya ikitoa tahadhari kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), maafisa wa afya wameanza kuimarisha maandalizi katika mipak...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vifo vya Ebola vyafikia 131, maambukizi yakishika kasi

Shirika la Afya Duniani (WHO) tayari limetangaza mlipuko huo wa Ebola unaosababishwa na kirusi cha aina ya Bundibugyo kuwa ni dharura ya afya ya umma ya kimataifa.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wagonjwa wahangaika baada ya mfumo wa SHA kupata hitilafu tena

KWA siku tatu sasa, wagonjwa katika hospitali za umma kote nchini Kenya wamekuwa wakikwama, wakikosa huduma katika vyumba vya matibabu na kuambiwa watoe fedha taslimu ambazo hawana...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mambo manne yanayokwamisha kurejea kwa Mwendokasi Kibaha

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali yaweka mikakati kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali zimeungana kuandaa mikakati ya pamoja ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), kufuatia tahadhari ya Shirika la Afya Duniani (WHO)...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Wachina wanavyotumia sauti kuondoa mawe kwenye figo

Teknolojia hiyo inalenga kupunguza gharama za matibabu, muda wa kulazwa hospitalini na kuwawezesha wagonjwa kurejea katika shughuli zao za kawaida kwa haraka.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Duale: Tuko tayari kupambana na ugonjwa wa Ebola

SERIKALI ya Kenya imeimarisha hatua za dharura za kukabiliana na Ebola huku ikiweka timu za wataalamu wa afya katika hali ya tahadhari saa 24 kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo katika...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hofu Embu baada ya kisa cha Mpox kuthibitishwa

MAAFISA wa afya ya umma wako katika hali ya tahadhari kubwa kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya nyani maarufu kama Mpox katika Kaunti ya Embu. Kulingana na Gavana Cecily Mbarir...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Chanjo ya Ebola itachelewa, WHO yaonya vifo vitaongezeka zaidi

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya huenda ikachukua kati ya miezi sita hadi tisa kabla ya chanjo dhidi ya aina ya Ebola ya Bundibugyo kuwa tayari kutumika, huku idadi ya vifo n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Buda aungama wivu ulimpeleka kwa waganga kuroga watoto wa kakake waone giza maishani

MBEE, Machakos: POLO aliacha watu vinywa wazi baada ya kukiri hadharani kwamba amekuwa akitafuta waganga wa kienyeji ili kuwaroga watoto wa kaka zake wasifaulu maishani. Jamaa al...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Maambukizi fiche yakwamisha vita dhidi ya malaria

Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza maambukizi na vifo vinavyotokana na malaria barani Afrika, changamoto nane zimeendelea kuwa kikwazo katika juhudi za kutokomeza u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ni kubaya! Serikali yakaidi raia, yaendelea na mipango ya kuanzisha kituo cha Ebola

SERIKALI ya Kenya inaendelea na mipango ya kuanzisha kituo cha kutenga na kutibu Ebola kwa ushirikiano na serikali ya Amerika, huku ikipuuza amri ya korti katika mfano halisi wa uk...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ugonjwa

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source