Mpango wa kutimua Sifuna ulivyosukwa usiku wa manane baada ya ziara Ikulu
KIKAO cha kundi la wabunge kilichojawa na vurugu usiku wa manane Jumatano kilisababisha pigo jingine kwa Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna. Baada ya kikao hicho, jana katibu huyo wa...