Fedha za vyama zinavyowang’oa vigogo upinzani
Soma zaidi...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Siasa Za Upinzani.
Fresh curated links around Siasa za Upinzani are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi...
Soma zaidi hapa...
MUUNGANO wa upinzani umeangukiwa na mizimwi ya dhiki chungu nzima za kisiasa. Muungano huo umeendelea kubanwa katika kuandaa mikutano huru kwa kushambuliwa na wahuni mara kwa mara...
KUGAWANYIKA kwa upinzani si jambo geni katika siasa za Kenya. Mwaka 1992, chama cha FORD kilichokuwa kimeibuka kama tishio kubwa kwa utawala wa KANU kilisambaratika baada ya viong...
UPINZANI sasa unakabiliwa na mtihani mkubwa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Baada ya kuonekana kukubaliana kuhusu haja ya kuungana dhidi ya Rais William Ruto, sasa viongozi w...
Soma hapa...
HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...
Spoma hapa...
VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...
Soma hapa...
VIONGOZI wa upinzani wameanza mikakati ya kuunda muungano mkubwa wa kisiasa unaofanana na ule wa National Rainbow Coalition (NARC) uliomwingiza madarakani Rais mstaafu Mwai Kibaki...
KADRI uchaguzi mkuu unavyojongea ndivyo tabia ya kufadhaisha isiyoruhusu mtazamo na msimamo tofauti inavyozidi kujitokeza. Katika taifa linalojivunia demokrasia na utawala wa kika...
MPANGO wa Rais (mstaafu) Uhuru Kenyatta wa kufufua muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 umepingwa vikali na baadhi ya vyama vya upinzani, hali inayo...
Soma zaidi hapa...
VIONGOZI wakuu wa upinzani wamekosoa vikali pendekezo la Rais William Ruto la kuanzisha mwongozo mpya wa maendeleo ya taifa utakaofuata Ruwaza ya 2030, wakisema serikali inajaribu...
KWA takriban miongo mitatu, aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga alijijengea jina kama kinara wa siasa za upinzani nchini. Alitumia mbinu mbalimbali kama kususia bidhaa, kuha...
Mjadala mzito unaendelea katika vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii kuhusiana na tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ya kuzuia kwa muda, mik...
MVUTANO wa kisiasa unaendelea kutokota katika eneo la Mlima Kenya na kutishia juhudi za kuunganisha upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka ujao. Chanzo cha mzozo huo ni matamshi ya...
MGALA muue, lakini haki yake umpe. Ni msemo unaoafiki zaidi kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua. Tangu atimuliwe kutoka wadhifa wa naibu rais karibu miaka miwili iliyopita...
Soma zaidi hapa...
KILA kiongozi anaruhusiwa kufanya kampeni mahala popote nchini kwa sababu Kenya ni taifa huru na kila mwanasiasa ana haki ya kuendeleza ajenda yake ya kisiasa. Aliyekuwa Naibu Rai...
KATIKA siasa za Kenya za sasa, mapambano makali hayafanyiki tena kwenye mikutano ya hadhara, Bunge au runinga pekee. Sasa vita hivyo vimechacha kwenye makundi ya WhatsApp. Makun...
Soma zaidi hapa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.