Latest updates for Siasa Za Trans Nzoia

Fresh curated links around Siasa za Trans Nzoia are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kenya Kwanza yazidisha presha kwa Natembeya
  • Natembeya, Ruto wakabana koo shughuli zikikwama Kitale
  • Ruto, Natembeya wapimana ubabe kuhusu maendeleo

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kenya Kwanza yazidisha presha kwa Natembeya

MUUNGANO wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto, umeanzisha kampeni kali ya kisiasa ya kuteka Kaunti ya Trans Nzoia kutoka kwa upinzani, hatua inayoongeza presha kwa Gava...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Natembeya, Ruto wakabana koo shughuli zikikwama Kitale

MVUTANO kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya kuhusu kutenga vibanda katika Soko la Masinde Muliro, Kitale, ulichacha jana huku polisi wakitumwa kuli...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Ruto, Natembeya wapimana ubabe kuhusu maendeleo

MVUTANO wa kisiasa kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya umechacha huku washirika wao wakipigana vikali kuhusu miradi ya maendeleo na uchaguzi wa 2027...

Read source
nairobiwire.com /1 week ago

Natembeya Fires Back at Ruto Over Trans Nzoia Development Claims

Trans Nzoia Governor George Natembeya has rejected accusations by President William Ruto that his Tawe Movement is obstructing development projects across the county. Responding to...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Natambeya aitisha ufafanuzi kuhusu ulinzi wake kuondolewa

GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kueleza sababu za kuondolewa kwa maafisa wa usalama waliokuwa wakimlinda, saa chache baada...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Msimsalimu Natembeya, amri kwa polisi kuhusu Ruto yavuta hisia

KAMISHNA wa Kaunti ya Trans Nzoia Hussein Allaso amezua mzozo baada ya kuwaamuru maafisa wa serikali ya kitaifa kuacha kumsalimu Gavana George Natembeya, akimlaumu kwa kumkosea hes...

Read source
kenyans.co.ke /5 days ago

Two Police Officers Injured After Chaos Erupts During Sifuna-led Rally

Political tensions flared in Trans Nzoia after Sifuna and Natembeya were blocked from speaking at a senior police officer’s funeral.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Hesabu za Gachagua zinavyozidi kuwa ngumu mlimani

Hesabu za kisiasa za aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 zinazidi kuwa ngumu kutokana na swali moja muhimu - iwapo ataruhusiwa kugombea au atalazim...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto, Gachagua wang’ang’ania kura za Maasai huku Ole Lenku naye akikosana na ODM

VITA vya kisiasa vya kusaka kura za jamii ya Maa vinazidi kupamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakiongeza ju...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Vyama vya kisiasa vyageuka bidhaa moto

UCHAGUZI mkuu wa mwaka 2027 unapokaribia, juhudi za  wanasiasa na wafanyabiashara wa siasa kutafuta vyama vya kisiasa zimegeuza mazingira ya siasa nchini kuwa uwanja wenye ushindan...

Read source
nairobiwire.com /4 days ago

Natembeya: I’ll Work With Ruto as Governor, but Sifuna Gets My 2027 Vote

Trans Nzoia Governor George Natembeya says he has no problem cooperating with President William Ruto on county projects, but will not support his re-election and prefers Edwin Sifu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Mishale ya Serikali kwa Sifuna yaongezeka

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna amekuwa mlengwa wa matamshi makali kutoka kwa viongozi wa serikali ya Kenya Kwanza, huku akizidisha juhudi za kujijenga kisiasa kuelekea kwenye ucha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gavana asihi wakazi wa Taita Taveta wasiunge Gachagua

VIONGOZI wa Taita-Taveta wakiongozwa na Gavana Andrew Mwadime wamewaonya wakazi wa Pwani dhidi ya kuunga mkono siasa za upinzani zinazoongozwa na kinara wa chama cha DCP, Bw Rigath...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna ajiandaa kuzindua chama cha Ukombozi People’s Party (UPP)

MIPANGO ya kuzindua Ukombozi People’s Party (UPP), chama kinachotarajiwa kutumiwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna katika azma yake ya kuwania urais mwakani, imeanza kushika kasi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Haya hapa maagizo ya Samia kwa Ma-RC

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Ushindani wa kisiasa usiwe wa kuvunja nchi wala kuibua uhasama

MJADALA kuhusu amani na uwajibikaji wa viongozi unapaswa kupewa uzito unaostahili uchaguzi mkuu wa 2027 unapokaribia. Hivyo basi, Uzinduzi wa Mwongozo kuhusu Uchaguzi Usio na Vuru...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kalonzo avamia ngome ya Ruto Taita Taveta na kutumia mzozo wa ardhi kumshambulia

VIONGOZI wa upinzani Jumamosi walivamia Taveta, eneo linalotajwa kuwa ngome ya kisiasa ya Rais William Ruto, wakitumia mzozo wa ardhi na madai ya kufurushwa kwa wakazi kuishambulia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kauli mbiu ya Wantam yatawala Nairobi Sifuna akitamba jijini

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna na viongozi wa Linda Mwananchi jana walitikisa Jiji Kuu la Nairobi kupitia misururu ya mikutano mikubwa iliyovumisha ujumbe wa kumbandua Rais Willia...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mwaka mmoja bila Raila, Kenya yakabiliwa na vita ya urithi wa kisiasa

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto, Kalonzo kumenyana uchaguzi mdogo ukinukia Ukambani

UCHAGUZI mdogo wa wadi ya Migwani, Kaunti ya Kitui, umegeuka kuwa uwanja mpya wa mapambano ya kisiasa kati ya kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na washirika wa Rais William Ruto ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /23 hours ago

Ziara ya Ruto yafichua ushindani mkali ngomeni

ZIARA ya siku 10 ya Rais William Ruto katika ngome yake ya kisiasa ya Kaskazini mwa Bonde la Ufa imefichua ushindani unaozidi kuongezeka ndani ya chama tawala cha UDA huku wanasias...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Kero za barabara, maji zamsubiri Kihongosi Pwani

Ubovu wa barabara, uhaba wa maji safi na salama pamoja na uvamizi wa ardhi ni miongoni mwa changamoto ambazo wananchi wa Mkoa wa Pwani wanatamani zipatiwe ufumbuzi, huku wakitaraji...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake

Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ndovu wanaharibu mazao shambani kwangu Taveta, Rais Ruto alalamika

RAIS William Ruto amefichua kuwa ndovu wamekuwa wakivamia shamba lake lililoko Taita-Taveta na kuharibu mimea licha ya juhudi za kuwazuia, huku mizozo kati ya binadamu na wanyamapo...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Siasa Za Trans Nzoia

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source