Ruto ana kibarua kigumu kuvumisha Tutam Wakenya wakikabiliwa na gharama ya juu ya maisha
UCHAGUZI Mkuu wa 2027 umeibua hali ya kipekee katika siasa za Kenya. Rais William Ruto anaingia katika kipindi cha mwisho cha muhula wake wa kwanza akiwa amepoteza sehemu kubwa...