Vita mgombea mwenza wa Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027
Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Siasa Za 2027.
Fresh curated links around Siasa za 2027 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic...
IKIWA kuna jambo ambalo wachambuzi wa siasa wanakubaliana nalo, ni kwamba uchaguzi mkuu wa 2027 unatarajiwa kuwa wa gharama kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini. Kuanzia ma...
UCHAGUZI mkuu wa mwaka wa 2027 unavyokaribia, siasa za Kenya zinashuhudia mwelekeo mpya ambapo baadhi ya viongozi waliochaguliwa wanaonekana kuwa tayari kuacha nyadhifa walizo nazo...
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) imeweka wazi ratiba muhimu itakayoongoza maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 10, 2027, huku wanasiasa wakianza mapema kampeni...
KIKAO cha vinara wa upinzani kilichotarajiwa kutoa mwelekeo mpya wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027 kilimalizika Kiambu Jumatatu bila kutatua baadhi ya masuala muhimu yanayotishi...
HATUA ya baadhi ya vyama kujipanga kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 imeanza kubadili mwelekeo wa vyama hivyo huku utafiti mpya ukionyesha kuwa umaarufu wa chama cha UDA na ms...
HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...
BUNGE la Kenya linakabiliwa na kibarua kigumu cha kupitisha kwa haraka sheria muhimu za uchaguzi, huku mapendekezo kadhaa yakikwama kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027. Sp...
UCHAGUZI Mkuu wa 2027 unatarajiwa kuwa ghali zaidi katika historia ya Kenya, huku makadirio yakionyesha kuwa serikali, vyama vya kisiasa na wagombea watatumia zaidi ya Sh272 bilion...
RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza mkutano muhimu wa Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Jumatatu, hatua inayotafsiriwa kama kurejea kwake katika siasa za...
CHAGUZI ndogo zimekuwa zikitumika kama kipimo cha hali ya kisiasa nchini, zikitoa ishara kuhusu mabadiliko ya msimamo wa wapigakura na nguvu za vyama kabla ya uchaguzi mkuu. Uch...
TUNAPOELEKEA Uchaguzi Mkuu wa 2027, vita muhimu havitakuwa tu kati ya wagombeaji na vyama vya kisiasa. Vitakuwa pia vita vya habari — kati ya ukweli, propaganda, upotoshaji na uwo...
KENYA inapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027, tayari kuna ishara za hatari zinazoweza kuzua vurugu na kuzamisha nchi katika mzozo wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Vurugu katika mikutan...
ALIYEKUWA Naibu rais Rigathi Gachagua amefungua mlango wa muungano usiotarajiwa wa kisiasa kati ya Mlima Kenya na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, akisema eneo hilo liko tayari kumu...
SERIKALI ya Rais William Ruto imeanza kuimarisha kampeni ya mawasiliano kwa umma kuhusu sera, miradi na mafanikio yake huku uchaguzi mkuu wa 2027 ukikaribia. Hatua hiyo inafuatia...
KATIKA siasa za Kenya za sasa, mapambano makali hayafanyiki tena kwenye mikutano ya hadhara, Bunge au runinga pekee. Sasa vita hivyo vimechacha kwenye makundi ya WhatsApp. Makun...
ALIYEKUWA Waziri Moses Kuria ameibua mjadala kuhusu uchaguzi wa urais wa 2027 baada ya kutoa kauli tata kuhusu atakayeapishwa kuwa rais baada ya uchaguzi huo. Kuria, ambaye ni ki...
KINARA wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, ana uzoefu, ngome ya kisiasa ya kuaminika na nafasi nzuri katika kinyang’anyiro cha kutafuta mgombeaji urais wa upinzani mwaka 202...
VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...
MWAKA mmoja kabla ya Wakenya kuelekea kwenye debe kuwachagua viongozi wao, ongezeko la magenge yanayotumiwa katika siasa limeibua hofu kuwa makundi hayo yanaweza kuhatarisha uchagu...
RAIS William Ruto na Kinara wa ODM Dkt Oburu Oginga jana walibuni kamati ya watu watano kutoka kila upande ili kuibuka na rasmi na manifesto ambayo watatumia kujivumisha kuelekea u...
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika awamu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 huku ikiwa na chini ya mwaka mmoja kuhakikisha changamoto zilizopo zinata...
UPINZANI sasa unakabiliwa na mtihani mkubwa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Baada ya kuonekana kukubaliana kuhusu haja ya kuungana dhidi ya Rais William Ruto, sasa viongozi w...
MAHAKAMA Kuu imesema uchaguzi ujao wa urais nchini ulifaa kufanyika Agosti 2026, badala ya 2027, lakini imekataa kuamuru uchaguzi huo uandaliwe mara moja ikisema hatua hiyo inaweza...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.