Vijana zaidi ya 50 watoweka, waaminika kuvuka kujiunga na al-shabaab
IDARA ya usalama katika Kaunti ya Lamu inachunguza kutoweka kwa zaidi ya vijana 50 wanaoaminika kuvuka hadi nchi jirani ya Somalia kujiunga na kundi la kigaidi la Al-Shabaab. Kami...