Kaunti zilipa Sh8.3 bilioni kama mishahara bila kufuata kanuni
SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ambayo imeibua hofu kuhusu matumizi mabaya ya fedha za...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Serikali Za Kaunti.
Fresh curated links around Serikali za Kaunti are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ambayo imeibua hofu kuhusu matumizi mabaya ya fedha za...
KAUNTI 10 zinaongoza katika matumizi ya fedha za maendeleo katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, huku kila moja ikitumia zaidi ya asilimia 70 ya bajeti iliyotengewa miradi ya maend...
SERIKALI za kaunti zimefungua akaunti nyingine 1,411 zamdhibiti katika mwaka uliomalizika Juni 2026, hatua iliyoongeza idadi ya akaunti zinazodaiwa kuendeshwa kinyume cha sheria ha...
SERIKALI za kaunti zinatarajiwa kupokea Sh71.09 bilioni zaidi katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027, baada ya Rais William Ruto kutia saini sheria mpya inayolenga kuimarisha uwajibi...
Soma hapa...
Ubovu wa barabara, uhaba wa maji safi na salama pamoja na uvamizi wa ardhi ni miongoni mwa changamoto ambazo wananchi wa Mkoa wa Pwani wanatamani zipatiwe ufumbuzi, huku wakitaraji...
HOSPITALI za umma katika kaunti kadhaa zinakabiliwa na uhaba wa dawa muhimu na vifaa vya matibabu huku baadhi ya serikali za kaunti zikitenga fedha nyingi kwa safari na makongamano...
Soma hapa...
Soma hapa...
KAUNTI za Nairobi na Nakuru zinadaiwa Sh75.7 bilioni za mapato ambayo hayajalipwa, kiasi kinachozidi madeni yanayodaiwa na kaunti 45 zilizosalia kwa pamoja. Kiasi hicho ni zaidi y...
MAGAVANA sasa wapo kwenye mzozo mkali na Tume ya Ugavi wa Mapato (CRA) kuhusu mgao wa Sh440.84 bilioni unaopendekezwa kwa kaunti katika mwaka wa kifedha wa 2027/28, huku wakuu hao...
Soma hapa...
Kamisheni ya Ardhi Zanzibar imewataka wananchi na madalali wanaojihusisha na uuzaji wa viwanja, mashamba na maeneo mbalimbali ya Serikali yaliyotengwa kwa ajili ya miradi na kilim...
Soma hapa...
GAVANA wa Nairobi, Johnson Sakaja, aliingia ofisini mwaka wa 2022 akiwa na ahadi kubwa ya kuhakikisha kuwa mambo yanaenda sambamba Nairobi lakini miaka minne baadaye takwimu za mat...
Serikali inatarajia kujenga nyumba salama 10 kwa ajili ya manusura wa ukatili pamoja na vituo 184 vya kulelea watoto mchana katika halmashauri 40 nchini, ikiwa ni sehemu ya hatua z...
[Capital FM] Nairobi -- Governors Wavinya Ndeti of Machakos, Kimani Wamatangi of Kiambu, Irungu Kang'ata of Murang'a, Ochilo Ayacko of Migori, George Natembeya of Trans Nzoia and I...
HUDUMA katika kaunti zote 47 huenda zikavurugika baada ya chama cha wafanyakazi wa serikali za kaunti (COGWU) kutishia kuchukua hatua kupinga mapendekezo ya Tume ya Ugavi wa Mapat...
MZOZO wa bajeti kati ya Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti na baadhi ya madiwani wa Bunge la Kaunti umechacha baada ya gavana huyo kukataa marekebisho yaliyofanywa kwenye bajeti ya S...
RIPOTI mpya ya Mdhibiti wa Bajeti imeibua wasiwasi kuhusu ongezeko la madeni katika serikali za kaunti, huku magavana wanane wa muhula wao wa kwanza wakishindwa kulipa yale ya zama...
TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imefichua mtandao mpana wa ufisadi katika serikali za kaunti ambapo maafisa wa umma wanadaiwa kutumia watoto, wake na jamaa zao wa ka...
SERIKALI imeunda kikosi cha asasi mbalimbali ili kuharakisha utekelezaji wa agizo la Mahakama Kuu linalohitaji kuwekwa kwa kanuni mpya za kusimamia maandamano ya umma na mienendo y...
[Capital FM] Nairobi -- County governments control hundreds of billions of shillings every year, funding everything from hospitals and roads to water projects, agricultural extensi...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.