Omtatah afika kortini kupinga IEBC kulegeza masharti ya usalama wa karatasi za kura
CHAMA cha National Reconstruction Alliance (NRA), kinachohusishwa na Seneta wa Busia Okiya Omtatah, kimeenda mahakamani kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa...