Sekta ya majanichai yaonyesha ukuaji huku ikiandikisha Sh218.79b sokoni katika bajeti ya mwaka jana
SEKTA ya majanichai nchini imeonyesha ukuaji kwa kiasi kikubwa, ikiandikisha thamani ya Sh218.79 bilioni sokoni katika bajeti ya mwaka uliopita. Ukuaji huo umehusishwa na mikaka...