Ruto afichua ‘kusafirisha’ kampuni ya Tata Chemicals akiilaumu kwa kutonufaisha Wakenya
RAIS William Ruto amemshambulia vikali mwekezaji wa kimataifa, Tata Chemicals, eneo la Magadi, Kajiado, akisema kampuni hiyo imeshindwa kuwanufaisha Wakenya licha ya kufanya biasha...