Mahakama yatoa uamuzi wa kihistoria kuhusu mzozo wa ardhi jijini Nairobi
RAMANI ya eneo iliyochorwa katika miaka ya 1980 ilitelekezwa kwa zaidi ya miongo mitatu kabla ya kujitokeza kuwa moja kati ya sakata kubwa zaidi kuhusu ardhi nchini. Kilichoanza...