Takwimu za CBK zaonyesha Wakenya wanakopa sana kumudu mahitaji ya kila siku
HALI ngumu ya maisha imesukuma mamilioni ya Wakenya kutafuta mikopo ya kidijitali ili kukidhi mahitaji ya kila siku, huku zaidi ya akaunti milioni nane zikikopa zaidi ya Sh150 bili...