Latest updates for Rais Wa Vuguvugu La Vijana Wa Odm (Odm Youth League) John Ketorah

Fresh curated links around Rais wa vuguvugu la vijana wa ODM (ODM Youth League) John Ketorah are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • JAMVI LA SIASA: Uwakilishi ‘hewa’ wa vijana kaa moto kwa Linda Ground
  • Hatutachezea uteuzi chamani ODM tena, Oburu ahakikishia wafuasi
  • Katibu Fikirini akiri jinsi Joho, Raila walivyomsaidia kupata kazi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

JAMVI LA SIASA: Uwakilishi ‘hewa’ wa vijana kaa moto kwa Linda Ground

KINARA wa ODM Dkt Oburu Oginga amekuwa akijirejelea kama ‘kiongozi wa vijana’ kudhihirisha kuwa uongozi wake unamakinikia masuala ya vijana na changamoto zinazowakumba. Licha ya u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hatutachezea uteuzi chamani ODM tena, Oburu ahakikishia wafuasi

KIONGOZI wa ODM, Dkt Oburu Oginga ametangaza kuwa mara hii chama hicho kitaandaa uteuzi wa haki na huru wala hakuna atakayependelewa kutokana na ukuruba wake na uongozi wa chama....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Katibu Fikirini akiri jinsi Joho, Raila walivyomsaidia kupata kazi

RAIS William Ruto amesisitiza kujitolea kwa serikali yake kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kuchangia kwa maendeleo ya nchi. Akizungumza katika eneo la Ganze wakati wa ibada...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

ODM kujipima nguvu kwa mara ya kwanza bila Raila

CHAMA cha Orange Democratic Movement kimeanzisha mikakati ya ndani ya kujitathmini kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 huku kukiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wake bila kiong...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki ajipange? Ndoto ya Joho kuwa naibu wa Ruto yapigwa jeki

VIONGOZI wakuu katika Chama cha ODM wamekubaliana na wanasiasa wanaomtaka Waziri wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika Uc...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hawa watatikisa vigogo katika uchaguzi wa 2027

SURA mpya katika ulingo wa kisiasa zinaibuka kwa ujasiri kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027 na kuwa mwiba kwa vigogo wa miaka mingi. Kundi hili jipya la viongozi tayari linaonye...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Junet aonya Ruto asichezee ODM shere kuhusu 2027

KATIKA kile kinachoashiria mpasuko mkubwa ndani ya Serikali Jumuishi, chama cha ODM sasa kinatishia kujiondoa katika ushirikiano huo kikidai wabunge wake wananyanyaswa na kulazimis...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi Ruto alivyoingiza ODM kwenye mtego

Ilianza kwa mikutano ya chinichini na ishara za kisiasa za heshima, kisha ukafuata uteuzi wa wanachama wa upinzani katika Baraza la Mawaziri, na baadaye majukwaa ya pamoja ya kisia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kundi la Linda Mwananchi linaloongozwa na Sifuna, Babu lapokelewa kwa kishindo Kisumu

VIONGOZI wa Linda Mwananchi jana waliteka jiji la Kisumu kwa kishindo huku wakidai wao ndio wana maono ya marehemu kigogo wa siasa za Luo Nyanza Raila Odinga. Gavana wa Siaya Ja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kila kitu kiko shwari; hatuwezi kukosana, Ruto ahakikishia ODM

RAIS Ruto amewalaumu baadhi ya wanasiasa kwa kukubali kutumiwa kuzua mgawanyiko huku akisisitiza kuwa ushirikiano wa UDA na ODM utadumu hata baada ya uchaguzi mkuu wa 2027. Rais a...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Caroli Omondi awakejeli viongozi wa Linda Ground akisema wamekaribishwa Linda Mwananchi

MBUNGE wa Suba Kusini, Caroli Omondi amewakejeli viongozi wa Linda Ground kutokana na masaibu wanayoyapitia mikononi mwa UDA, na kusema wapo tayari kuwakaribisha tena ila kwa masha...

Read source
kenyans.co.ke /2 weeks ago

John Mbadi, Ruth Odinga Trade Accusations as ODM Wrangles Intensify

The recent trading of words between the two comes at a time when the ODM party is faced with internal wrangles, with two distinctive factions having emerged: Linda Ground and Linda...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Raila Junior ataka Oburu awaadhibu wanaomdhalilisha marehemu babake

KIONGOZI wa familia ya marehemu Raila Odinga, Raila Junior, jana aliwataka baadhi ya wanasiasa wa ODM kuheshimu familia hiyo. Kumekuwa na vuta nikuvute kati ya Waziri wa Fedha J...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

SIFUNA ANATOSHA MBOGA! Linda Mwananchi latathmini Sifuna agombee urais 2027

KUNDI la Linda Mwananchi ambalo linahusishwa na Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna na Gavana wa Siaya James Orengo linatathmini mikondo miwili ikiwemo seneta huyo wa Nairobi kuwania u...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Junet Fires Warning Shot at Gachagua: “ODM Is Not a Village Party”

Suna East MP Junet Mohammed has showered praise on the Orange Democratic Movement (ODM), calling it the only political giant in Kenya with a truly national heartbeat. While speakin...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM yakaliwa ngumu na UDA

MJADALA unaoendelea ndani ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wa kuhifadhiwa maeneo ya kisiasa amabyo inadai ni ngome yake, unaonyesha kimefifia na huenda kikakosa makali...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua, Matiang’i kung’ang’ania kiti cha eneobunge la Ol Kalou

SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Linda Mwananchi watoa masharti makali baada ya Arati kuwasihi ‘warejee nyumbani’

VIONGOZI wa Linda Mwananchi ndani ya ODM wametoa makataa makali kabla ya kuridhiana na wenzao wa Linda Ground inayoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga. Linda Mwananchi ina...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /6 days ago

Huenda Ruto akawafuta kazi mawaziri ‘wataalamu’ wa ODM

LICHA ya wito kutanda kuwa mawaziri John Mbadi (Fedha) na Opiyo Wandayi (Kawi) wajiuzulu wakati wa maandamano ya kupinga bei ya juu ya mafuta wiki hii, maswali yameibuka iwapo Rais...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Sijawazia urais, lengo kwanza ni kujenga vuguvugu kali la kung’oa Ruto – Sifuna

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amesema bado hajaamua atagombea wadhifa gani katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, licha ya umaarufu anaopata kupitia mrengo wake wa Linda Mwananchi ndani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

SIASA: Mvutano viongozi wakionya ODM kuhusu tikiti ya ugavana Kisumu

BAADHI ya viongozi wa ODM kutoka Kaunti ya Kisumu wameonya chama hicho kwamba hawatakubali demokrasia ya maafikiano katika kinyang’anyiro cha ugavana mnamo 2027, wakisisitiza kuwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Oburu kuongoza mkutano wa ‘Azimio la Waluo’ kutoa mwelekeo wa siasa za 2027

VIONGOZI wakuu wa chama cha ODM Jumapili wanatarajiwa kuongoza jamii ya Waluo kutangaza azimio muhimu kuhusu uchaguzi mkuu wa 2027 katika mkutano mkubwa wa kisiasa utakaofanyika Ki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Sifuna afichua sifa za mgombea urais wanayemtaka katika kundi lao

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna Jumanne aliwahakikishia wafuasi wa upinzani kuwa kutakuwa na mgombea mmoja wa urais atakayechaguliwa kupitia maoni ya wananchi ili kumkabili Rais Wil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Damu changa zinazotishia vigogo wa kisiasa 2027

WAKIUNGWA mkono na vijana wa Gen-Z wanaozidi kuwa wakakamavu kwa usemi, sura mpya za wanasiasa zinajitokeza kama wagombea muhimu katika kinyang’anyiro cha 2027. Kundi hilo jipya l...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Rais Wa Vuguvugu La Vijana Wa Odm (Odm Youth League) John Ketorah

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source