Kabutha ahifadhi urais wa Netball Kenya huku viongozi wote wakichaguliwa bila kupingwa
RAIS wa Shirikisho la Netiboli Kenya (Netball Kenya), Immaculate Kabutha, amechaguliwa tena bila kupingwa baada ya wagombea wote kukosa wapinzani katika uchaguzi uliofanyika Jumamo...