Mshangao Mackenzie akiorodhesha wahadhiri, Padri na Shekhe kumtetea kortini
MHUBIRI tata Paul Mackenzie atawaita wahadhiri wa vyuo vikuu, padri wa Kanisa Katoliki, shehe wa dini ya Kiislamu na mwanasaikolojia ili kusaidia utetezi wake dhidi ya mashtaka ya...