Latest updates for Orodha Ya Mashahidi Wa Mackenzie

Fresh curated links around Orodha ya mashahidi wa Mackenzie are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Mackenzie ‘arekebisha’ orodha ya mashahidi, aondoa Padri na Shekhe
  • Mshangao Mackenzie akiorodhesha wahadhiri, Padri na Shekhe kumtetea kortini
  • Mashahidi 12 kutoa ushahidi kesi ya wizi wa jenereta

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mackenzie ‘arekebisha’ orodha ya mashahidi, aondoa Padri na Shekhe

MHUBIRI Paul Mackenzie amebadilisha mkakati wake wa kujitetea dhidi ya mashtaka ya mauaji ya Shakahola, akitangaza wazi kwamba atategemea ushahidi wa wataalamu kutoka nyanja zisizo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mshangao Mackenzie akiorodhesha wahadhiri, Padri na Shekhe kumtetea kortini

MHUBIRI tata Paul Mackenzie atawaita wahadhiri wa vyuo vikuu, padri wa Kanisa Katoliki, shehe wa dini ya Kiislamu na mwanasaikolojia ili kusaidia utetezi wake dhidi ya mashtaka ya...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mashahidi 12 kutoa ushahidi kesi ya wizi wa jenereta

Mashahidi hao wanatarajia kutoa ushahidi wao, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mkoa wa Dar es Salaam.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Shahidi afichua mazishi ya kinyama Kwa Binzaro, ya miili kuachwa kuliwa na wanyama porini

KESI ya mhubiri Paul Mackenzie na Sharleen Temba Anindo ya uhalifu dhidi ya binadamu kuhusu vifo Kwa Bi Nzaro imeanza Mombasa, ikiashiria hatua ya kihistoria katika mfumo wa haki n...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mila potofu zadaiwa kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani

Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda S: Tukio hilo la mauaji lilitokea Machi 20, 2026 kwa watuhumiwa hao kudaiwa kumuua Rashid Nyandonga (31), fundi simu na m...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Polisi yathibitisha kumuhoji mpenzi wa Ashlee aliyefia Zanzibar

Hatimaye mpenzi wa mhamasishaji wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani, Ashly Robinson, maarufu Ashlee Jenae, Joe McCann anahojiwa na polisi visiwani Zanzibar.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mtifuano mali za mchungaji Rwakatare, Mahakama yatoa uamuzi

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Watumishi wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni

Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wawili mbaroni kwa tuhuma za mauaji, maiti yaokotwa shambani

Mtoto wa marehemu Kashinje Selemani, amesema baada ya kupata taarifa alikwenda nyumbani na kukuta tukio hilo kisha kuelezwa kuwa alifika hapo nyumbani mtu ambaye hawamfahamu na kuz...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Ni zamu ya Aweso, Profesa Mkenda na Makonda

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

TEC: Askofu Mfumbusa hakufumbia macho uovu

Askofu Mfumbusa alifariki dunia Aprili 14, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

FYATU MFYATUZI: Fyatu aunda timu kujichunguza na kuwachuuza mafyatu wenzie

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 days ago

Wawili kushikilia ofisi za CWT wakisubiri hatima ya viongozi wao

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /2 days ago

Kesi ya Boni Yai yasubiri uamuzi, Malisa yupo Marekani kwa matibabu

Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa, inasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Sintofahamu yaibuka wakili aliyekamatwa mahakamani

Soma zaidi hapa....

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Asimamishwa kwa tuhuma za kulazimisha wafiwa kununua majeneza yake

Hospitali hiyo imewataka wananchi wanaokutana na changamoto ya aina hiyo kuwasiliana na hospitali kupitia namba za simu za viongozi zilizobandikwa kwenye mbao za matangazo hospital...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Watano mbaroni kwa tuhuma za kutapeli Sh40 milioni Tabora

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumtapeli zaidi ya Sh40 milioni mjane Fatuma Nassoro mkazi wa Kaliua mkoani Tabora.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

18 CCM wachukua, kurudisha fomu kumrithi Lukuvi Isimani

Imeelezwa kuwa idadi hiyo inajumuisha wanamume 16 na wanawake wawili.

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Mabaunsa wajitenga na uhalifu, wafafanua tofauti na bodigadi

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kilio cha mawakala wanavyopigwa

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mkemia adai unga uliokutwa kwa Mushi ni mchanganyiko wa dawa za kutibu magonjwa ya afya akili

Mkemia wa Serikali daraja la kwanza, Lowasa Erika, ameiambia Mahakama kuwa uchunguzi alioufanya kwenye mabaki ya unga ulioganda katika bilauli ya plastiki iliyokutwa chumbani kwa m...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Monica kortini akidaiwa kujipatia Sh60 milioni kwa udanganyifu

Mshtakiwa ameshindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo amepelekwa rumande.

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Mwanafunzi IFM aliyeuawa aagwa, kuzikwa kesho Moshi

Mchungaji huyo amesema aliyaandaa mahubiri kwa mara ya kwanza na kuyachana kutokana na kusikia sauti ya Mungu kwamba ameyaandaa kwa hisia kali.

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Aliyepinga kufukuzwa kazi HESLB akwama mahakamani

Katika hoja zake, alidai kunyimwa haki ya msingi ya kusikilizwa kwa kuwa hakupatiwa ripoti ya uchunguzi iliyotumika dhidi yake, jambo lililomnyima nafasi ya kuandaa utetezi wa kina...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Orodha Ya Mashahidi Wa Mackenzie

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source