Omtatah apinga kinga ya IMF na Benki ya Dunia inayowazuia kushtakiwa nchini
SENETA wa Busia Okiya Omtatah akishirikiana na wanaharakati Bernard Muchiri na Naomi Misati, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka sheria inayoyapa mashirika ya kifedha y...