ODM yasisitiza sera zake zijumuishwe manifesto ya Ruto
CHAMA cha ODM kinataka baadhi ya sera zake muhimu zijumuishwe katika manifesto ya uchaguzi ya Rais William Ruto ya 2027 kama sehemu ya makubaliano ya kabla ya kuunda muungano kati...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Ole Lenku Akosana Na Odm.
Fresh curated links around Ole Lenku akosana na ODM are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
CHAMA cha ODM kinataka baadhi ya sera zake muhimu zijumuishwe katika manifesto ya uchaguzi ya Rais William Ruto ya 2027 kama sehemu ya makubaliano ya kabla ya kuunda muungano kati...
MBUNGE wa Makadara, George Aladwa, amepata uungwaji mkono mkubwa katika azma yake ya kuwania ugavana wa Nairobi baada ya wajumbe na wenyekiti wa matawi ya ODM kumuunga mkono katika...
VITA vya kisiasa vya kusaka kura za jamii ya Maa vinazidi kupamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakiongeza ju...
RAIS William Ruto jana alionekana kupunguza mvutano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, akisema vyama hivyo ni washirika katika Serikali Jumuishi akiahidi kulinda urithi wa kisiasa wa m...
MZOZO wa miezi kadhaa kati ya ODM na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umefikia kikomo baada ya Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) kutupilia mbali ombi lake la kutak...
CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...
ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguz...
VIONGOZI wa ODM ambao wamekuwa na msimamo vuguvugu katika kuunga mkono azma ya Rais William Ruto kuwania muhula wa pili wameanza kuhisi joto kutoka kwa wapigakura wa Nyanza, wanaow...
UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya ch...
KUKOSEKANA kwa Gavana wa Siaya James Orengo katika mikutano kadhaa muhimu ya viongozi wa upinzani katika siku za hivi majuzi kumezua mjadala mkubwa kuhusu hatua yake ya kisiasa kue...
Suna East MP Junet Mohamed said the Orange Democratic Movement (ODM) is an equal partner alongside the United Democratic Alliance (UDA) in President William Ruto’s broad-based admi...
NAIBU Rais, Profesa Kithure Kindiki Ijumaa aliambia chama cha Orange Democratic Movement (ODM), kinachoongozwa na Seneta wa Siaya Oburu Oginga, kwamba hawezi kuondolewa kirahisi, n...
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na shinikizo la kupata chama atakachotumia kuwania urais katika uchaguzi wa 2027, huku pia akishughulikia tofauti za kisiasa ndani ya vug...
MWAKA mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, tofauti za kimya kimya zimeanza kujitokeza kati ya familia yake na chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kuhu...
ODINGA Junior ameapa kubaki katika chama cha ODM na kumuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena mwaka ujao, licha ya tofauti za kisiasa zinazozidi kujitok...
MBUNGE wa Makadara George Aladwa Ijumaa alisema ODM haina nia ya kuvuruga wala kuingilia mkutano wa Linda Mwananchi ambao utafanyika mnamo Jumapili katika uwanja wa Jacaranda, Nai...
MJADALA kuhusu mpango wa kugawana maeneo ya kisiasa unaendelea kuibua tofauti ndani ya ODM, huku Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya akipinga pendekezo hilo na kuunga mk...
GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amezidi kuungwa mkono na viongozi wa Kenya Kwanza kutetea kiti hicho katika Uchaguzi wa 2027. Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, alisema wan...
USHIRIKIANO wa kisiasa alioanzisha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na Rais William Ruto kabla ya kifo chake Oktoba 15 2025, sasa unaingia katika hatua muhimu huku vyama vya UDA...
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinamkumbuka huku kikikabiliwa na swali ambalo halijapata jibu la wazi hadi sasa. Swali hi...
CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kesho kitazindua rasmi shughuli za mwezi mzima za kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha mwanzilishi wake, Raila Amolo Odinga, kupitia ha...
KIONGOZI wa ODM, Oburu Oginga, amesafiri Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa afya huku akitarajiwa kushiriki shughuli za kisiasa na Wakenya wanaoishi nchini humo. Safari hiyo im...
HATUA ya Linda Mwananchi kumuidhinisha rasmi Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais, inaonekana kufunga mlango kwa azma ya Gavana wa Siaya James Orengo kuwania u...
CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.