Latest updates for Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma

Fresh curated links around Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • DPP awaongezea mashtaka hadi 32 maofisa wa polisi wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha
  • Watumishi wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni
  • Mashahidi 12 kutoa ushahidi kesi ya wizi wa jenereta

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 month ago

DPP awaongezea mashtaka hadi 32 maofisa wa polisi wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha

Jamhuri imefanya mabadiliko katika hati ya mashtaka kwenye kesi ya kughushi vibali/leseni za kumiliki silaha, kwa kuongeza mashtaka 16 mapya, yakiwemo ya kukutwa na mihuri ya kughu...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Watumishi wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni

Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mashahidi 12 kutoa ushahidi kesi ya wizi wa jenereta

Mashahidi hao wanatarajia kutoa ushahidi wao, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mkoa wa Dar es Salaam.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Sintofahamu yaibuka wakili aliyekamatwa mahakamani

Soma zaidi hapa....

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

RC Mara atoa maelekezo haya kwa Jeshi la Polisi

Kanali Mtambi amesema kumekuwepo na tabia ya polisi kuchukua hatua baada ya uhalifu kutokea, jambo ambalo amesema limekuwa likisababisha jamii kupata bughudha na usumbufu bila saba...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Koplo alivyowabwaga IGP, RPC kortini, uamuzi wao wabatilishwa

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kesi ya Matonya kuhusu ubakaji yaanza kujikokota

AFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) bado haijamkabidhi msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Sefu Shabani Ramadhan almaarufu Matonya, stakabadhi muhimu za ushahidi zina...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Rais Samia agusia mapendekezo ripoti ya Tume ya Haki Jinai

Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Magereza kuzingatia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai katika maeneo ambayo bado hayajaguswa kikamilifu.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Moto wateketeza jengo la Mahakama Lugoba

Wakizungumza na Mwananchi, baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Pwani wamesema tukio hilo limeibua hofu kuhusu usalama wa majengo ya umma, hususan yale yanayohifadhi nyaraka nyeti za kisher...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kesi wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha yakwama, sababu zatolewa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeshindwa kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo maofisa sit...

Read source
mwananchi.co.tz /3 days ago

Mahita ataja kinachoisibu polisi, wadau wasema...

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Ishu ya mabaunsa, Serikali yatoa msimamo

Soma hapa....

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Mamlaka zinasubiri malalamiko ya wananchi na si sheria - 2

Soma hapa....

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mahakama yatoa siku 30 kwa Jamhuri kujadiliana na Salma kesi ya dawa za kulevya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku 30 kwa upande wa Jamhuri katika kesi ya kusafirisha gramu 3.8 za dawa za kulevya aina ya bangi, inayomkabili mshtakiwa Salma Said (60),...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Tume ya Jaji Chande yajibu mapigo, yataka haki kwa uwajibikaji

Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imefafanua mapendekezo yake kuhusu uwajibikaji, huku ikifichua wajumbe wake kup...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mila potofu zadaiwa kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani

Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda S: Tukio hilo la mauaji lilitokea Machi 20, 2026 kwa watuhumiwa hao kudaiwa kumuua Rashid Nyandonga (31), fundi simu na m...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Samia avunja bodi PSSSF

Bodi hiyo ilizinduliwa Machi 27 mwaka jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumisii wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwan Kikwete.

Read source
mwananchi.co.tz /3 days ago

Wawili kushikilia ofisi za CWT wakisubiri hatima ya viongozi wao

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Mwakilishi aibua hoja Ma- RC, DC kuwaweka wananchi mahabusu

Mwakilishi wa Tunguu, Simai Mohamed Said (CCM) amesema wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia sheria vibaya kuwaweka watu kizuizini bila sababu za msingi.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

IPOA yashindwa kuchunguza kesi ya malalamishi dhidi ya polisi kutokana na bajeti ndogo

MAMLAKA Huru ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi (IPOA) imelemewa na mrundiko wa kesi 3,600 ambazo hazijashughulikiwa kutokana na ukosefu wa fedha za kutosha. Kesi nyingi zilizokw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Mtendaji Simanjiro miaka 20 jela kwa ubadhirifu wa Sh3.3 milioni

Mahakama hiyo imemtia hatiani Mollel katika kesi iliyokuwa ikiendeshwa na mwendesha mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Faustin Mushi.

Read source
thecitizen.co.tz /3 weeks ago

High Court throws out DPP application over appeal delay

The application was filed under Section 379(1)(b) and (2) of the Criminal Procedure Act (CPA), requesting the court to extend time to lodge an appeal challenging the acquittal.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Polisi yathibitisha kumkamata Pauline Pallangyo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Pauline Pallangyo zimekuwa za kupotosha umma.

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Serikali yaonya wanaotumia jina la Dk Nchimbi kutapeli

Onyo hilo limetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutokana na uwepo wa utapeli unaofanyika mtandaoni kupitia jina la Dk Nchimbi.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source

thecitizen.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source