Sifuna apambana vikali na Oburu
MVUTANO unaoendelea kati ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na Katibu wake Mkuu Edwin Sifuna unaashiria dalili za kudumu kwa muda mrefu. Bw Sifuna, ambaye ameshtakiwa...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Njama Ya Kutimua Sifuna Odm.
Fresh curated links around Njama ya kutimua Sifuna ODM are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
MVUTANO unaoendelea kati ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na Katibu wake Mkuu Edwin Sifuna unaashiria dalili za kudumu kwa muda mrefu. Bw Sifuna, ambaye ameshtakiwa...
The move comes amid growing tension in ODM, with the Sifuna-led Linda Mwananchi faction positioning itself as a rival to the Linda Ground faction.
KATIBU Mkuu wa ODM Edwin Sifuna anakabiliwa na mtihani mgumu ambao utamjenga au kumponza kisiasa wiki hii akitarajiwa kufika mbele ya Kamati ya Nidhamu ya chama hicho kujibu maswal...
SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna amerejea katika Jopo la Kutatua Mizozo ya Kisiasa (PPDT) akiomba alindwe dhidi ya juhudi mpya za kumtimua kama Katibu Mkuu wa ODM. Kwenye ombi lake...
MGAWANYIKO katika chama cha ODM umefika kileleni, katibu mkuu wa chama hicho Seneta Edwin Sifuna anazidi kutamba na kusherehekewa hasa miongoni mwa vijana wanaosisimuliwa na mbwemb...
HATUA za vyama vya kisiasa kuwaondoa au kusukuma pembeni viongozi wenye ushawishi zimeanza kuonekana kama upanga wenye makali kuwili, huku wataalamu wakionya kuwa mara nyingi hulet...
MJADALA unaoendelea ndani ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wa kuhifadhiwa maeneo ya kisiasa amabyo inadai ni ngome yake, unaonyesha kimefifia na huenda kikakosa makali...
KUNDI la Linda Mwananchi ambalo linahusishwa na Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna na Gavana wa Siaya James Orengo linatathmini mikondo miwili ikiwemo seneta huyo wa Nairobi kuwania u...
SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amesema bado hajaamua atagombea wadhifa gani katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, licha ya umaarufu anaopata kupitia mrengo wake wa Linda Mwananchi ndani...
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna Jumanne aliwahakikishia wafuasi wa upinzani kuwa kutakuwa na mgombea mmoja wa urais atakayechaguliwa kupitia maoni ya wananchi ili kumkabili Rais Wil...
MBUNGE wa Homa Bay Town, Peter Kaluma, alijitwika nyapara wa boma isiyo yake kwa wito wake wa kutaka Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, aondolewe mara moja katika wadhifa wake akasah...
WAJUMBE wa chama cha Wiper Patrotic Front katika eneo la Pwani, wamemhimiza kinara wao Kalonzo Musyoka amteue Seneta wa Nairobi, Bw Edwin Sifuna, kuwa mgombea mwenza katika uchaguz...
KATIKA kile kinachoashiria mpasuko mkubwa ndani ya Serikali Jumuishi, chama cha ODM sasa kinatishia kujiondoa katika ushirikiano huo kikidai wabunge wake wananyanyaswa na kulazimis...
BAADHI ya viongozi wa ODM kutoka Kaunti ya Kisumu wameonya chama hicho kwamba hawatakubali demokrasia ya maafikiano katika kinyang’anyiro cha ugavana mnamo 2027, wakisisitiza kuwa...
VIONGOZI wa Linda Mwananchi jana waliteka jiji la Kisumu kwa kishindo huku wakidai wao ndio wana maono ya marehemu kigogo wa siasa za Luo Nyanza Raila Odinga. Gavana wa Siaya Ja...
VIONGOZI wa Linda Mwananchi ndani ya ODM wametoa makataa makali kabla ya kuridhiana na wenzao wa Linda Ground inayoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga. Linda Mwananchi ina...
Ilianza kwa mikutano ya chinichini na ishara za kisiasa za heshima, kisha ukafuata uteuzi wa wanachama wa upinzani katika Baraza la Mawaziri, na baadaye majukwaa ya pamoja ya kisia...
LICHA ya wito kutanda kuwa mawaziri John Mbadi (Fedha) na Opiyo Wandayi (Kawi) wajiuzulu wakati wa maandamano ya kupinga bei ya juu ya mafuta wiki hii, maswali yameibuka iwapo Rais...
SURA mpya katika ulingo wa kisiasa zinaibuka kwa ujasiri kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027 na kuwa mwiba kwa vigogo wa miaka mingi. Kundi hili jipya la viongozi tayari linaonye...
The public feud between Orange Democratic Movement (ODM) leader Oburu Oginga and party Secretary General Edwin Sifuna has deepened, with Oginga explicitly rejecting any future coll...
Gavana wa Siaya James Orengo ameikosoa vikali mipango inayoendelea ya kuhifadhi ngome za kisiasa ndani ya Orange Democratic Movement (ODM), akisema ni ishara tosha kuwa chama hicho...
SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...
VYAMA vya ODM na UDA sasa vipo kwenye mzozo mkali kuhusu msimamo wa chama hicho cha chungwa kuwa chama tawala kisiwe na wagombeaji katika ngome zake. Viongozi wa ODM sasa wanamtak...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.