Mwanamke aliyefariki Nanyuki hakuwa na Ebola, vipimo vyathibitisha
HOFU ya uwezekano wa mlipuko wa Ebola mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia, imepungua baada ya vipimo kuthibitisha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 35 aliyefariki hospitalini hakuwa...