Mgogoro wa Iran, Marekani mlango wa Hormuz wapandisha tena bei mafuta ghafi
Bei ya mafuta ghafi imetajwa kuongezeka leo Jumanne Julai 14, 2026 baada ya mapigano kuongezeka Mashariki ya Kati, huku masoko ya hisa duniani kupanda kufuatia kushuka mwanzoni mwa...