Maandalizi yashika kasi Kenya ikijiandaa kuanzisha kiwanda chake cha kwanza cha nyuklia
KENYA inajiandaa kuanza kuzalisha nishati kwa kutumia nuklia huku kiwanda chake cha kwanza cha nuklia kikipangiwa kuzinduliwa rasmi Machi, mwaka ujao. Machi 25, 2026, Rais William...