Wanga azua gumzo kwa kusafiri na Ruto katika helikopta moja ya rais
GAVANA wa Homa Bay Gladys Wanga amejikuta tena katikati ya gumzo la kisiasa baada ya kuonekana akisafiri kwa helikopta ya Jeshi la Anga pamoja na Rais William Ruto wakati wa ziara...