Ruto atuliza hasira ODM na UDA japo suala la ‘zoning’ labaki kiazi moto
MKUTANO kati ya Orange Democratic Movement na United Democratic Alliance uliofanyika ikulu jana ulifichua mvutano wa wazi, huku tofauti kali zikijitokeza kuhusu uhifadhi wa ngome z...