Latest updates for Mvua Ya El Nino
Fresh curated links around Mvua ya El Nino are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Mikoa hii ilivyojiandaa kwa mvua za El Nino
- Dk Mwigulu azidi kuhimiza tahadhari mvua za El Nino
- Maeneo hatari El- Nino ikitarajiwa hivi karibuni
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Dk Mwigulu azidi kuhimiza tahadhari mvua za El Nino
Wananchi Mkoani Songwe wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Nino, ikiwamo mafuriko na uharibifu wa mali, huku wakihimizwa kuombea mvu...
Maeneo hatari El- Nino ikitarajiwa hivi karibuni
KENYA inakabiliwa na hatari aina tatu za mafuriko wakati wa msimu wa mvua miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba, huku hali ya El Niño ikiimarika na baadhi ya maeneo tayari yakianza k...
TAHARIRI: El Nino sasa imekaribia, tukae ange
KWA muda wa miezi kadhaa, wataalamu wa hali ya anga wamekuwa wakiutahadharisha ulimwengu kuhusu ujio wa mvua ya El Nino. Kulingana na ripoti za kitaalamu, kipindi cha kuanza kwa m...
TMA yasisitiza maandalizi kukabiliana na El Nino
Soma hapa...
Mara yaweka tahadhari machimbo, maeneo hatarishi kabla ya El Nino
Soma hapa...
Mtaka awaonya Njombe kuhusu mvua za El-Nino
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha kutokana na hali ya El-Nino...
SMZ yachukua tahadhari ya El Nino, Mji Mkongwe hatarishi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza hatua zilizoanza kuchukua kukabiliana na mvua za El Nino, huku ikiwataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi kuanza taratibu za kuh...
Jiandaeni vya kutosha El Nino huja na magonjwa, kaunti zaonywa
Katika maeneo mbalimbali nchini, Wakenya wanaangalia anga kwa hofu na matumaini, kama walivyofanya wakati wa misimu mikubwa ya El Niño ya 1997, 2015 na 2023. Hata hivyo, mwaka huu...
El Niño continues to strengthen, set to peak in Tanzania in November and December
TMA’s seasonal outlook also forecasts above-normal to normal rainfall in several areas during the October-December 2026 Vuli season, with increased rainfall expected particularly i...
Tanga yaweka mkakati kukabiliana na El Niño
Tanga. Mkoa wa Tanga umeunda timu tendaji ya kukabiliana na maafa yanayoweza kusababishwa na mvua za El Niño, huku wakuu wa wilaya wakitakiwa kubaini maeneo hatarishi na kuchukua h...
Hemed ahimiza wananchi maeneo yaliyoanishwa tahadhari ya El-Nino kuhama
Wakati zikianishwa Shehia 188 zilizomo kwenye hali ya tahadhari kutokana na kuwepo kwa mvua za El-Niño, Serikali imeendelea kuwataka wananchi waliomo kwenye shehia hizo kuchukua ha...
Dawasa yaweka ‘ulinzi’ maeneo 20 kukabiliana na El-Nino
Soma zaidi...
Geita yatangaza operesheni ya siku tano kukabili El Nino
Geita. Serikali wilayani Geita imetangaza operesheni ya siku tano ya usafi wa mazingira kwa ajili ya kuzibua mitaro na njia za maji zilizozibwa na taka, ikiwa ni sehemu ya maandali...
El Niño yabadili ratiba ya kufungwa shule Tanzania Bara
Soma hapa...
Jinsi wakulima wamejipanga kuepuka hasara ya mvua kubwa ijayo ya El Nino
JANET Omollo, mkulima katika eneo la Nyatike, Kaunti ya Migori, ameshuhudia mengi katika shughuli zake za kilimo. Miongoni mwa changamoto alizokumbana nazo, ni kutovuna mazao ya k...
Tutaenda wapi: Wakazi wa Nairobi walalamikia onyo kuhusu mafuriko ya El Nino
Wakazi wa maeneo yanayokumbwa na hatari ya mafuriko jijini Nairobi wanakabiliwa na changamoto kubwa huku serikali ikiendelea kuwaonya kuondoka katika maeneo hayo kabla ya mvua ya E...
Tanga yaanza kazi kutambua maeneo hatarishi kukabiliana na mvua za El Niño
Tanga.Wilaya ya Tanga imeanza kuchukua hatua za tahadhari kwa kutembelea na kutambua maeneo yote hatarishi yanayoweza kuathiriwa na mvua za El Niño, ikiwa ni sehemu ya maandalizi y...
Waiomba Serikali iboreshe masoko kabla ya El Nino
Siku kadhaa baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutoa tahadhari ya uwezekano wa mvua kubwa za El Nino, wafanyabiashara wadogo jijini Mbeya wameiomba Serikali kuboresha...
Maeneo 17 yatengwa huduma za afya mvua za El-Nino Zanzibar
Wizara ya Afya Zanzibar imetenga vituo vya afya na zahanati 17 Unguja na Pemba kwa ajili ya kutoa huduma za dharura, endapo mvua kubwa za El Nino zitasababisha athari za kiafya kwa...
What to do and what not to do when El Niño strikes
Residents have been urged to prepare for heavy Vuli rains expected in parts of Tanzania from late September or early October, with flood-prone areas facing increased risks. The Ta...
Wanaoishi kwenye mkondo wa maji Longido watakiwa kuhama
Wananchi wanaoishi kwenye maeneo hatarishi ikiwemo mikondo ya maji katika Wilaya ya Longido mkoani Arusha, wametakiwa kuhama mapema kabla ya kuanza kwa mvua za El-Nino zinazotaraji...
ACT-Wazalendo yaonesha shaka maandalizi El Nino, yatoa ushauri
Chama cha ACT-Wazalendo kimeeleza wasiwasi kuhusu maandalizi ya Serikali kukabiliana na mvua za El Nino zinazotarajiwa, ikitaka hatua za haraka zichukuliwe kulinda maisha na mali z...
El-Nino: Ruto akejeli na kutilia shaka utabiri wa hali ya hewa nchini
RAIS William Ruto ameeleza kutoridhishwa na utabiri wa hali ya hewa nchini, akizua mjadala kuhusu uwezo wa wataalamu kutabiri kwa usahihi wakati ambao mvua kubwa ya El Niño itaanza...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.