Vijana si tatizo, ni msingi wa maendeleo
Wakati karibu nusu ya watu duniani ikiwa ni vijana, Serikali za mataifa mbalimbali zimeonywa zisilitazame kundi hilo kama hatari, badala yake zilichukulie kuwa msingi wa maendeleo,...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Mustakabali Wa Vijana.
Fresh curated links around Mustakabali wa vijana are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Wakati karibu nusu ya watu duniani ikiwa ni vijana, Serikali za mataifa mbalimbali zimeonywa zisilitazame kundi hilo kama hatari, badala yake zilichukulie kuwa msingi wa maendeleo,...
Vijana wa kiume wenye umri wa miaka 15 hadi 29 wameelezwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kujitoa uhai nchini, huku msongo wa mawazo, ukimya wa kueleza matatizo na chang...
Ulishawahi kufikiria, wewe kijana, namna bora ya kutunza afya yako ili uje kuwa na afya njema uzeeni?
Soma hapa...
KUNA ukatili wa aina yake katika kumwambia kijana aliyefaulu mtihani, akapata nafasi ya chuo kikuu na kuanza safari ya kubadili maisha yake kwamba sasa anapaswa kusubiri ili ajue k...
Soma hapa...
Wadau wa afya Tanzania wametaja mambo matano yanayotishia afya na ustawi wa vijana na balehe, wakitaka huduma na taarifa za afya ya uzazi ziwafikie kwa wakati na kwa namna inayokid...
Mzazi anapoulizwa kuhusu ndoto yake kwa mtoto, mara nyingi atasema: “Nataka asome vizuri, amalize chuo na apate kazi nzuri.” Hilo si jambo baya. Elimu ni muhimu na ajira ni njia mu...
MBIO za kumtafuta mgombeaji atakayepeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027 zinageuka vita vya kizazi, huku vijana wakitaka kuchukua nafasi...
Soma zaidi hapa...
Vijana zaidi ya 250 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kukutana Dar es Salaam katika Kongamano la kujadili na kuweka ajenda zinazohusu afya, uongozi, uchumi, usawa wa kij...
Soma hapa...
Kutafuta mchumba ni hatua muhimu inayoweza kuamua kwa kiasi kikubwa maisha ya mtu katika ndoa.
Soma hapa...
Kupata ajira ni ndoto ya watu wengi. Baada ya miaka ya shule na chuo, ni jambo la kufurahisha kupata nafasi ya kutumia taaluma yako na kupata kipato. Lakini ajira inapogeuka kuwa m...
Kwa muda mrefu, tunapozungumzia namna ya kuwavutia vijana kuingia na kubaki katika kilimo, tumekuwa tukisisitiza mafunzo, ushauri wa kilimo, ujasiriamali na matumizi ya teknolojia....
Soma hapa...
Ukiuliza wanafunzi wa zamani wa Shule ya Sekondari Sengerema kuhusu maisha yao shuleni, kuna mambo ambayo yanaweza kuwafanya watabasamu, kucheka au hata kushangaa, hasa wale walioi...
Kwa vijana wengi, ni wazazi wao waliowachagulia kanisa walikokulia. Huko ndiko walikohudhuria shule ya Jumapili, kujifunza Biblia, kupata marafiki na kushiriki shughuli za kidini....
Sekta ya mafunzo ya amali Zanzibar imesisitiza umuhimu wa kuwajengea vijana ujuzi, ikisema ndiyo msingi wa ukombozi wa kiuchumi na miongoni mwa silaha muhimu katika kuwaepusha na m...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.