Latest updates for Mswada Wa Marekebisho Ya Sheria Ya Makosa Ya Uchaguzi
Fresh curated links around Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Makosa ya Uchaguzi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Chadema yaweka msimamo Tume ya Jaji Lila
- Miswada iliyopitishwa na Bunge namna ilivyowagusa wananchi
- Faini ya Sh2m, jela miaka mitano kwa kuendesha uchaguzi nje ya vituo rasmi
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Miswada iliyopitishwa na Bunge namna ilivyowagusa wananchi
Soma hapa...
Faini ya Sh2m, jela miaka mitano kwa kuendesha uchaguzi nje ya vituo rasmi
WABUNGE wanapendekeza sheria kali kwa maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wakiendesha uchaguzi katika vituo ambavyo havijaidhinishwa rasmi. Maafisa hao wataweza ku...
ZEC yamkabidhi Dk Mwinyi ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Soma hapa...
Wawakilishi waikalia kooni Serikali muswada wa sheria ya habari
Soma hapa...
Lissu ataja kanuni 12 za kuzingatiwa kuamua kesi yake
Soma hapa...
Sheria za uchaguzi zakwama bungeni 2027 ikikaribia
BUNGE la Kenya linakabiliwa na kibarua kigumu cha kupitisha kwa haraka sheria muhimu za uchaguzi, huku mapendekezo kadhaa yakikwama kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027. Sp...
Maraga abuni muungano kushinikiza mageuzi IEBC, asema kuhesabu kura Bomas ni haramu
MUUNGANO unaoongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga umetaka mageuzi makubwa kufanyiwa mchakato wa uchaguzi kabla ya kura za mwaka ujao na ukatishia kuongoza Wakenya kwenye maa...
ACT kuhamishia mapambano Dodoma ZEC ikitangaza ushindi kesi za uchaguzi
Mapambano ya kisheria yanayotokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025 yameingia katika hatua mpya baada ya Chama cha ACT - Wazalendo kutangaza kufungua shauri la...
Heche aeleza Lissu alivyokutana na wadau kunadi ‘No reforms, No election’
Soma zaidi...
Ulega akoleza mapendekezo Tume ya Haki Jinai kupunguza msongamano magerezani
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega ameyataja mapendekezo katika Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande, kwamba ndiyo tiba ya kupunguza msongaman...
Tume ya Jaji Lila yataja hadidu za rejea, yaanza kazi
Soma zaidi hapa...
Lissu aorodhesha taasisi nyingine zinazompigania aachiwe
Soma hapa...
Kauli ya mwisho Lissu akihitimisha majumuisho ya ushahidi mahakamani
Soma hapa...
Wabunge wataka IEBC ijitenge na mchujo vyamani
WABUNGE sasa wanapanga kuondoa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika usimamizi au kusikiliza migogoro inayotokana na mchujo ndani ya vyama vya kisiasa, wakisema hatua hiyo...
Jalada kesi ya Mkaguzi wa Polisi larejeshwa Polisi
Jalada la kesi ya kumiliki silaha inayomkabili Mkaguzi wa Polisi, Fredrick Malekela (46), limerudishwa Polisi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho, hatua iliyosababisha kuahirishwa k...
UCHAMBUZI WA MJEMA: Tukiruhusu watu wavunje katiba kwa kisingizio cha 'nia njema' tumekwisha
Soma zaidi...
Muswada vyeti kutumika dhamana ya mikopo kutua bungeni
Mkutano wa nne wa Bunge la 13 utaendelea kesho Jumatatu, Agosti 31, 2026, baada ya mapumziko ya mwishoni mwa juma, huku Watanzania wakisubiri kwa hamu muswada wa marekebisho ya she...
Lissu alivyowachambua mashahidi wa Jamhuri, adai ni wahalifu
Soma zaidi...
Mahakama Kenya yawaruhusu marais wastaafu kushiriki siasa
Mahakama Kuu nchini Kenya imebatilisha vifungu vya sheria vilivyowazuia marais wastaafu kushiriki kikamilifu katika siasa, ikisema kustaafu urais hakumvui mtu haki zake za kikatiba...
Heche aitaja Katiba mpya suluhu ya changamoto za Tanzania
Soma hapa...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.