Latest updates for Mswada Wa Fedha 2024

Fresh curated links around Mswada wa Fedha 2024 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Benki ya Dunia yasisitiza matumizi sahihi fedha mradi wa Pamoja
  • Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni
  • Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Benki ya Dunia yasisitiza matumizi sahihi fedha mradi wa Pamoja

Mradi wa Pamoja unafadhiliwa na WB kwa kipindi cha miaka mitano (2024/29) na utagharimu Sh33 bilioni.

Read source
mwananchi.co.tz /4 days ago

Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Katiba waomba Sh775 bilioni vipaumbele 14, ikiwemo elimu ya Katiba

Jumla ya Sh775 bilioni zimeombwa na Wizara ya Katiba katika mwaka wa fedha 2026/27, huku vipaumbele 14 vitakavyotekelezwa kwa wakati huo, ikiwemo kufungua kesi tano za uvunjwaji wa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Millya ataja sababu kukwamishwa bajeti 2025/26 mambo ya nje

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja mojawapo ya changamoto zilizokwamisha bajeti ya 2025/26 isiweze kutekelezwa ni kuwepo kwa baadhi ya nchi katika Ju...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

SMZ kutumia Sh1 trilioni kuimarisha huduma za afya mwaka 2026/30

Kiwango hicho cha fedha kinachopangwa kutumika kwa miaka mitano ijayo ni ongezeko la zaidi ya mara sita ya Sh130 bilioni zilizotengwa miaka mitano iliyopita.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Bajeti 2026/27 ya ujenzi kujenga kilomita 260 za lami

Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) umepanga kujenga barabara kuu zenye urefu wa kilomita 260.5 kwa kiwango cha lami, Bunge limeelezwa.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma kutua rasmi bungeni

Katika kuendelea kuimarisha uwekezaji wa umma, Serikali imepanga kukamilisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma katika mwaka wa fedha 2026/27, kama sehemu ya mkakati mpana wa k...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Ni wiki ya madaraja na malipo kwa makandarasi

Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Wizara yaomba Sh20 bilioni za polisi kujiandaa kwa uchaguzi

WIZARA ya Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa imeanzisha mpango wa Sh20 bilioni wa kupanua Kituo cha Kitaifa cha Ulinzi na Udhibiti wa Usalama (IC4), pamoja na mageuzi mengine y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ahadi ya Mbadi ya kupunguza ushuru wa PAYE yageuka hewa; haiko kwenye Bajeti 2026

WAZIRI wa Fedha, John Mbadi ameghairia nia kuhusu ahadi ya kupunguza ushuru wa mshahara kwa wafanyakazi walioajiriwa wanaolipwa chini ya Sh50,000. Kwenye Mswada wa Fedha wa 2026,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Gen-Z wachambua Mswada wa Fedha 2026 kwa jicho la 2024

KILICHOANZA kama midahalo kuhusu ushuru, kimegeuka kuwa moja kati ya vuguvugu bayana zaidi la kuelimisha raia kidijitali linaloongozwa na vijana wa Gen-Z, hali inayoibua kumbukumbu...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Uhaba wa fedha za maandalizi miradi ya ubia tishio

Wakati Tanzania ikiazimia kukuza uchumi wake kutoka Dola 90 bilioni za Marekani (Sh234,000 trilioni) za sasa hadi kufikia Dola 1 trilioni miaka mitano ijayo, wataalamu wa uchumi wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali yataka programu za washirika wa maendeleo ziendane na Dira 2050

Serikali imezitaka taasisi na washirika wa maendeleo kuhakikisha miradi na programu wanazotekeleza nchini, zinaendana na vipaumbele vya taifa vilivyowekwa katika Dira ya Taifa ya M...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Kamati yaitaka SMZ kuwashirikisha wananchi kwenye miradi ya maendeleo

Wakala wa Ulinzi wa JKU na Mamlaka za Serikali za Mitaa Sh405.196 bilioni kwa matumizi ya kazi za maendeleo.

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wizara ya Kazi yaja na mkakati uwekezaji wa PPP, ufanisi wa ajira

Wakati Wizara ya Kazi na Uwekezaji ikikadiria kutumia Sh27.091 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27, imepanga kutekeleza programu 24 kupitia idara zake mbili za uwekezaji, kazi na aj...

Read source
allafrica.com /1 month ago

PM Office Seeks Approval of 12.5tri/ - Budget for the 2026/27 Financial Year

[Daily News] Dodoma -- THE Office of the Prime Minister and its institutions have requested Parliament to approve a total of 12.5tri/- for the 2026/2027 financial year.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Bajeti 2026: Wabunge waogopa ‘GenZ’, wafuta baadhi ya vipengele kupunguza hasira

WABUNGE nchini sasa wanaonekana kuchukua tahadhari kubwa wanapoandaa Bajeti ya Mwaka wa Kifedha 2026, huku Mswada wa Fedha wa 2026 ukizua mjadala mpana kuhusu kile kilichoondolewa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Ufinyu wa bajeti unavyoitesa ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Wakati Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais (OMKR) ikianisha vipaumbele vitano vya kutekeleza mwaka 2026/27 na kuomba kuidhinishiwa Sh35.558 bilioni, ufinyu na upatikanaji wa fedha us...

Read source
thecitizen.co.tz /1 week ago

Zanzibar private sector points to strengths, gaps in 2026/27 budget draft

The draft estimates revenue and expenditure for the 2026/27 financial year at Sh8.217 trillion, marking an increase of Sh1.2 trillion from the Sh6.9 trillion budget for 2025/26. Of...

Read source
thecitizen.co.tz /2 weeks ago

WB urges Zanzibar to fast-track women empowerment project

The PAMOJA project, funded by the WB for a five-year period from 2024 to 2029, is valued at Sh33 billion.

Read source
mwananchi.co.tz /4 days ago

Sh3.313 trilioni zatumwa na Diaspora Tanzania

Dar es Salaam. Fedha zinazotumwa na Watanzania wanaoishi nje ya nchi zimeongezeka hadi kufikia Sh3.313 trilioni katika mwaka wa fedha 2024/25, hatua inayoonyesha kuongezeka kwa mch...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Hemed ataja hatua za kudhibiti mfumko wa bei akiwasilisha makadirio ya bajeti

Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Sh135.676 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27, huku ikiainisha mikakati ya kudhibiti mfumko wa bei na kui...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mwigulu ahitimisha bajeti ofisi yake, kuhusu mafuta kimya kinene

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Mswada Wa Fedha 2024

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source

thecitizen.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source