12 wanaswa tuhuma za kilimo cha bangi Kilwa
Watu hao wamekamatwa katika operesheni maalumu ya siku 16 iliyofanyika katika vijiji vinne vya kata za Kandawale na Kipatimo, Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Msako Wa Bangi.
Fresh curated links around Msako wa bangi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Watu hao wamekamatwa katika operesheni maalumu ya siku 16 iliyofanyika katika vijiji vinne vya kata za Kandawale na Kipatimo, Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi.
MISAKO mikali ya Idara ya Upelelezi Nchini (DCI) dhidi ya dawa za kulevya katika kipindi cha miezi sita iliyopita imefichua mbinu mpya zinazotumiwa na walanguzi kusafirisha na kusa...
MAKAHAMA Kuu imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Chama cha Warastafari Kenya iliyotaka wanachama wake waruhusiwe kulima, kumiliki na kutumia bangi kama sehemu ya ibada yao....
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), ameshindwa katika juhudi zake za kuiomba Mahakama Kuu ibadilishe hukumu ya miaka mitatu jela dhidi ya Kenes Mbukwa, aliyekutwa na dawa za kule...
Ripoti ya Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya mwaka 2025 inaonesha kiasi cha tani 26.36 za mirungi zilikamatwa, zikihusisha watuhumiwa 1,458, kati ya hao wanaume 1,265 na wanawak...
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Isa Rashidi, maarufu Hamidu, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha kilogramu 75.15 za dawa...
Mashahidi 22 na vielelezo 39 vinatarajiwa kutolewa na upande wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha kilo 90 za dawa za kulevya aina ya bangi, inayomkabili mshtakiwa Jaribu Twaha na...
Mwanza. “Nilitengwa na jamii, hadi familia yangu... hata paka wa nyumbani alikuwa na thamani kubwa. Nikienda kuchukua chakula napewa nje ya geti kwenye mfuko.” Hiyo ni simulizi ya...
Soma hapa...
LICHA ya Serikali ya Kaunti ya Mombasa kupiga marufuku uuzaji na matumizi ya muguka miaka miwili iliyopita, utafiti mpya umeonyesha kuwa mmea huo bado ni miongoni mwa dawa zinazotu...
Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman amesema dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania wanaokwenda China na kuwa baadhi yao wamehukumiwa vifungo vya...
Wakazi wa Mitaa ya Pingoni na Thaluji jijini Tanga, wamedai kuwa wapo hatarini kupata changamoto za kiafya, zinazotokana na uvutaji wa moshi na vumbi linalotoka katika kiwanda cha...
Soma zaidi hapa...
Soma hapa...
Wakazi wa kisiwani wamelalamikia uhaba wa sukari, huku kiasi kidogo kinachopatikana kikidaiwa kuuzwa kwa kificho kwa Sh5,000 kwa kilo.
Soma hapa...
KILIMO cha maparachichi kimekuwa miongoni mwa biashara zenye faida kubwa nchini Kenya kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matunda hayo katika masoko ya ndani na nje ya nchi....
Kati ya shehena hiyo, tani 78 ni mahindi ya bisi (popcorn) yaliyoharibika, na tani nne ni bidhaa mbalimbali zilizokwisha muda wa matumizi, zikiwemo pipi na mchele.
WASHUKIWA wawili wameshtakiwa katika Mahakama ya Mombasa kwa madai ya kula njama ya kusafirisha kokeini yenye thamani ya karibu Sh4 milioni. Hilton Gocho Chopeta na Mohamed Jabi...
Wakulima 200 wa mwani kutoka Shehia za Uzi na Muungoni, Mkoa wa Kusini Unguja, wamekabidhiwa vifaa muhimu vya kilimo, ikiwa ni juhudi za kuongeza uzalishaji, kuboresha ubora wa zao...
Soma hapa...
Serikali imeanza utekelezaji wa mkakati wa kuifanya Wilaya ya Mbeya kuwa kitovu cha uzalishaji wa shayiri nchini kwa kusambaza zaidi ya tani 10 za mbegu bora kwa wakulima kwa ruzuk...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.