Kaunti yampa mfugaji kuku ilani ya usafi baada ya malalamishi kuhusu uvundo, nzi
MAAFISA wa afya ya umma wa Kaunti ya Kwale wametoa ilani ya siku 28 kwa wasimamizi wa shamba la kufugia kuku lililo katika kijiji cha Kiteje, Kaunti Ndogo ya Matuga, kushughulikia...