Mpiga mbizi hodari ambaye ameokoa maisha ya wengi baharini kwa miaka 32
BW Mohamed Salim Ahmed ni mpiga mbizi mashuhuri ambaye ametumia sehemu kubwa ya maisha yake kuitumikia jamii, taifa na mataifa ya nje. Hata hivyo, mchango wake kwa jamii haujatamb...