Wavulana 10 wa Alliance wanaoshukiwa kuchoma stoo ‘waliwasiliana na watu wa nje’
WANAFUNZI 10 wa Shule ya Upili ya Alliance, Kikuyu, wamekamatwa kuhusiana na moto ulioteketeza stoo ya kuhifadhi godoro Jumatano usiku, huku uchunguzi wa awali ukionyesha kuwa huen...