Wafanyakazi wa KPA wahofia kupoteza kazi serikali ikitafuta wawekezaji wa kibinafsi
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Bandari nchini (KPA) wameingiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wa ajira zao huku serikali ikijiandaa kuwapa wawekezaji binafsi nafasi ya kuendesha baadhi...