MPAKA LINI? Huzuni, maswali tele wanafunzi wakifa tena kwenye mkasa wa moto shuleni
MASWALI yanaendelea kuzuka kuhusu chanzo cha moto ulioteketeza bweni la Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Utumishi iliyoko Kaunti ya Nakuru huku visa kama hivyo vikiendelea kutoke...