Bweni la wavulana sekondari ya Kalangalala lanusurika kuteketea
Moto huo ulibainika baada ya wanafunzi kuona moshi ukitoka katika bweni hilo linalokaliwa na wanafunzi 96.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Mkasa Wa Moto Shuleni.
Fresh curated links around Mkasa wa Moto Shuleni are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Moto huo ulibainika baada ya wanafunzi kuona moshi ukitoka katika bweni hilo linalokaliwa na wanafunzi 96.
Akizungumza katika eneo la tukio, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema hadi kufikia saa sita usiku hakukuwa na taarifa ya madhara ya vifo wala majeruhi.
MASWALI yanaendelea kuzuka kuhusu chanzo cha moto ulioteketeza bweni la Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Utumishi iliyoko Kaunti ya Nakuru huku visa kama hivyo vikiendelea kutoke...
Nyamagana Member of Parliament John Nzilanyingi said the incident highlighted the urgent need for continued investment in modern firefighting equipment, noting that the situation c...
WANAFUNZI 16 wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa moto uliotokea katika shule ya Utumishi Girls iliyoko Gilgil, Kaunti ya Nakuru. Ripoti ya polisi inasema kwamba moto huo ul...
VIFO vya wanafunzi 16 kufuatia moto ulioteketeza bweni la shule ya wasichana ya Utumishi Girls Academy jana alfajiri, vimeibua upya wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya usalama shuleni n...
Kwa mujibu wa mashuhuda, moto huo ulizuka majira ya saa 5:20 asubuhi leo Ijumaa, Julai 10, 2026, wakati gari la mteja lilipokuwa likijazwa mafuta.
WANAFUNZI 10 wa Shule ya Upili ya Alliance, Kikuyu, wamekamatwa kuhusiana na moto ulioteketeza stoo ya kuhifadhi godoro Jumatano usiku, huku uchunguzi wa awali ukionyesha kuwa huen...
Soma zaidi...
Maelezo yameibuka kuhusu jinsi moto mbaya ulioteketeza bweni katika shule ya Utumishi Girls Senior Secondary School huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, ulivyoripotiwa kwa mara ya kwanza...
TAIFA la Kenya kwa mara nyingine linaomboleza baada ya mkasa wa kutisha wa moto katika Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academy, Gilgil, Nakuru kuua wanafunzi 16 huku wengine wapat...
Mbali na kifungo hicho, mahakama imeamuru kifaa hicho chenye thamani ya Sh120,000, kirudishwe kwa mmiliki wake.
Soma zaidi hapa...
Soma hapa...
Pia gari za ruti nyingine zinazotumia barabara hiyo, hazitatakiwa kushusha wala kupakia abiria vituo vya katikati hadi zifike mwisho wa safari.
SERIKALI imewahakikishia wafanyabiashara waliopoteza mali katika kisa cha moto kwenye Soko la Gikomba jijini Nairobi kwamba watapata msaada huku vyombo vya usalama vikianzisha uchu...
Mwanza Regional Fire and Rescue Commander Elisa Mugisha, said on Saturday, July 4, 2026, that the fire started at about 7pm on Friday, July 3, 2026, and was brought under control i...
POLISI mjini Nyeri wamewakamata wanafunzi wanne wasichana Shule ya upili ya St Paul’s Githakwa wanaoshukiwa kuchoma bweni la shule usiku wa kumkia Jumanne. Wanafunzi hao, watatu...
AFISA mmoja anayehusika na uchunguzi wa moto uliotokea katika shule ya wasichana ya Utumishi mjini Gilgil, amesema wasichana sita wanahojiwa kuhusiana na mkasa huo. Kwa mujibu wa...
SERIKALI Ijumaa Mei 29, 2026 ilisema walimu wawili wa Shule ya Sekondari ya Utumishi Girls Senior School walikuwa na taarifa za mapema kuhusu uwezekano wa fujo lakini hawakuchukua...
MOTO uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Senior School, Gilgil na wengine 79 kujeruhiwa, ulipangwa na kutekelezwa kimakusudi, uchunguzi wa awali wa I...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.