Mradi wa maji wa Sh2.1 bilioni kuboresha maisha ya wananchi Maswa
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi wa maeneo hayo kwa muda mrefu, hususan wanawake na watoto waliokuwa wakitembea umbali...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Miradi Ya Umma.
Fresh curated links around Miradi ya umma are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi wa maeneo hayo kwa muda mrefu, hususan wanawake na watoto waliokuwa wakitembea umbali...
Amesema udhaifu wa usimamizi pamoja na vitendo vya rushwa vinaweza kusababisha miradi kujengwa chini ya viwango, kuongezeka kwa gharama zisizo za lazima, kuchelewa kukamilika kwa m...
RC James amesema Serikali imeendelea kuwekeza fedha nyingi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, lakini bado baadhi ya miradi imekuwa ikikabiliwa na changamoto za ucheleweshaj...
Katibu wa NEC wa CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amepongeza utekelezaji wa mradi huo akisema unaonyesha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekt...
Amesema maeneo yenye usimamizi wa moja kwa moja wa fedha na rasilimali za umma ndiyo yanapaswa kupewa kipaumbele zaidi katika ufuatiliaji wa maadili na uwajibikaji.
Kupitia mradi huo, Serikali pia inawekeza katika miradi ya kuongeza thamani ya mazao na mifugo, ikiwemo ujenzi wa viwanda vidogo vya kuchakata mafuta ya alizeti na kusindika maziwa...
Wizara ya Maji, Nishati na Madini imepanga kutekeleza bajeti yake ya Sh475.39 bilioni kwa kuzingatia vipaumbele vinane vikiwamo kuimarisha mtandao wa maji, uzalishaji wa umeme na k...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imepokea Sh700 milioni kwa ajili ya kuviwezesha kiuchumi vikundi 30 vya wananchi ili kupisha shughuli za kijamii kwenye maeneo ya hif...
Serikali imeendelea kuimarisha uwekezaji katika sekta ya nishati kwa kuzindua mradi wa zaidi ya Sh10.5 bilioni wa kuboresha mfumo wa usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Kongwa mko...
Serikali imeanza ujenzi wa soko la kisasa la Mamsera katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, hatua inayotarajiwa kusaidia kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na kuboresha...
Mamia ya wananchi wa vijiji vya Mrao, Momwe na Kiraeni katika Kata ya Mrao Keryo, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wataondokana na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maj...
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeomba kuhidhinishiwa Sh1.8 trilioni kutekeleza vipaumbele vinane kwa mwaka 2026/27, vikiwemo kuanzisha kampuni ya ndege ya Zanzibar pamoja na kuanza...
Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani Singida, ikiahidi kulipa fidia kwa mujibu wa sheria.
Watendaji wa serikali za mitaa wamehimizwa kubuni na kuendeleza miradi itakayoongeza mapato katika mamlaka zao.
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...
Wanafunzi 373 wa Shule ya Msingi Kambi ya Faru, Kata ya Kansay wilayani Karatu, wamenufaika na mradi wa vyoo vya kisasa wenye thamani ya Sh102 milioni uliotekelezwa na Shirika la W...
Agizo hilo limekuja kutokana na hoja ya CAG iliyobaini kuwa halmashauri hiyo ilifanya mabadiliko ya michoro katika baadhi ya miradi ya maendeleo bila kupata kibali kutoka kwa Katib...
Serikali ya imesema wananchi 3,682 wamelipwa fidia ya Sh47 bilioni katika maeneo 44 ya Unguja na Pemba waliopisha ujenzi wa miundombinu.
Tanzania’s Ministry of Works proposes a TZS 2,467.3 billion (approximately USD 949 million) development budget for the fiscal year 2026/27, tabled in Parliament on 20 May 2026 by M...
Serikali imetenga zaidi ya Sh1 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa gridi imara ya umeme ili kumaliza changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetaja vipaumbele vinane katika utekelezaji wa bajeti ya Sh210.3 bilioni huku utatuzi wa migogoro ukitajwa kila eneo.
Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) umepanga kujenga barabara kuu zenye urefu wa kilomita 260.5 kwa kiwango cha lami, Bunge limeelezwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila ameeleza kuwa uwazi, uwajibikaji na ushiriki wa wananchi katika kusimamia miradi ya maende...
Kimesema miradi ya maendeleo ni nguzo muhimu ya ustawi wa wananchi na hivyo inahitaji ulinzi na ushirikiano wa kila mwananchi katika kuilinda dhidi ya uharibifu.
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.