Latest updates for Miradi Ya Maendeleo

Fresh curated links around Miradi ya Maendeleo are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Miradi ya Sh2.24 trilioni yazinduliwa na Mwenge wa Uhuru
  • SMZ yatenga Sh53 bilioni kuendesha miradi ya Tehama
  • Tanzania yanufaika Dola 6.7 milioni za MCDF kwenye miradi mitatu ya kimkakati

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 week ago

Miradi ya Sh2.24 trilioni yazinduliwa na Mwenge wa Uhuru

Miradi ya maendeleo 1,337 yenye thamani ya Sh2.24 trilioni imezinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026, huku miti 23,674,822 ikipandwa katika...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

SMZ yatenga Sh53 bilioni kuendesha miradi ya Tehama

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Tanzania yanufaika Dola 6.7 milioni za MCDF kwenye miradi mitatu ya kimkakati

Tanzania imenufaika na ruzuku ya takribani Dola 6.7 milioni za Marekani (Sh17 bilioni) kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF), fedha zinazolenga maandalizi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kihongosi: Miradi ya maendeleo isiangalie vyama

Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo haupaswi kuangalia tofauti za vyama vya siasa, akisisit...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Ndejembi: Afrika iongeze kasi kutekeleza mipango ya maendeleo

Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Afrika inapaswa kuongeza kasi ya utekelezaji wa sera, mikakati na makubaliano ya maendeleo ili rasilimali na fursa zilizopo...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Sh27.4 bilioni zitakavyochochea uchumi Kahama

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeitaka Serikali kuhakikisha miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Shinyanga inanufaisha wananchi...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Miradi ya Tanzania, Benki ya Dunia yafikia Sh22 trilioni

Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameishukuru Benki ya Dunia kwa mchango wake katika kufadhili miradi ya kimkakati nchini, akisema ushirikiano huo ni muhimu katika kuimari...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wananchi watakiwa kutunza miradi ya Tasaf

Wananchi mkoani Geita wametakiwa kutunza miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), ili iweze kuendelea kutoa huduma na kunufaisha jamii kwa mu...

Read source
mwananchi.co.tz /4 days ago

Zabuni upanuzi Barabara ya Mandela kutangazwa Novemba

Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) unatarajia kutangaza zabuni ya ujenzi wa Barabara ya Nelson Mandela mapema Novemba mwaka huu, hatua inayolenga kuanza utekelezaji wa mradi wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mtanda ataka kasi ujenzi wa ofisi ya DC Meatu

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda amemtaka mkandarasi Sheree Company Limited kuongeza kazi ya ujenzi wa jengo la ghorofa moja la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu, unaosuasua lich...

Read source
thecitizen.co.tz /1 month ago

Why real development means changing lives, not just finishing projects

Permanent Secretary in the Prime Minister’s Office responsible for Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities, Dr Jim Yonazi, said the government needed evidenc...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Haya hapa maagizo ya Samia kwa Ma-RC

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Kihongosi awahakikishia Mkinga Serikali itawapatia maji ya uhakika

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amewahakikishia wakazi wa Wilaya ya Mkinga kuwa wataondokana na changamoto iliyopo ya uhaba wa m...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Mashirika Mara yaonywa kutegemea ufadhili wa nje

Serikali Mkoani Mara imewataka wamiliki wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) kuwa wabunifu na kutafuta vyanzo mbadala vya fedha, hususan vya ndani badala ya kutegemea ufadhili k...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Serikali kujenga nyumba salama 10, vituo 184 vya watoto

Serikali inatarajia kujenga nyumba salama 10 kwa ajili ya manusura wa ukatili pamoja na vituo 184 vya kulelea watoto mchana katika halmashauri 40 nchini, ikiwa ni sehemu ya hatua z...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mradi wa EACOP wafikia asilimia 92, matumaini yaongezeka

Mradi wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda, hadi Chongoleani, jijini Tanga, umefikia asilimia 92 ya utekelezaji, hatua inayoongeza matumaini ya kuanza kwa shughuli za k...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mwigulu: Punguzeni anasa, fedha zijenge madarasa, SGR

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /9 hours ago

Mv New Mwanza yaleta matumaini Afrika Mashariki

Kisumu. Mradi wa meli ya kisasa ya Mv New Mwanza umepongezwa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ukitajwa kuwa fursa ya kuimarisha usafiri na ushirikiano wa kiu...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Chivayo na taswira ya utajiri wa Dola milioni 100-3

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Tanzania yachangamkia fursa ushirikiano wa teknolojia Korea

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Bunifu za wanufaika wa Samia Scholarship kutumika

Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeanza mikakati ya kuendeleza bunifu zinazozalis...

Read source
allafrica.com /1 month ago

Kilama - Innovation to Drive Dira 2050

[Daily News] Dar es Salaam -- Deputy Executive Secretary of the National Planning Commission, Dr Blandina Kilama, has called for stronger collaboration among the government, privat...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

RC Mtanda: Siasa pembeni, maendeleo mbele

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda, amewataka madiwani na wananchi wa Wilaya ya Bariadi kuweka pembeni tofauti za kisiasa na kuelekeza nguvu zao katika utekelezaji wa shughuli za...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sh12 bilioni kujenga kiwanda cha dripu Zanzibar

Soma hapa...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Miradi Ya Maendeleo

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source

thecitizen.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source