Latest updates for Mikakati Ya Ruto Two Term

Fresh curated links around Mikakati ya Ruto Two Term are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto avutia Mlima kwa ahadi ya ‘yangu 10, na ya Kindiki 10’ uchaguzi wa 2032
  • Haitakuwa haki kunitema 2027, Ruto arai Mlima
  • Masuala tisa yanayotatiza mrengo wa upinzani uchaguzi wa 2027

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto avutia Mlima kwa ahadi ya ‘yangu 10, na ya Kindiki 10’ uchaguzi wa 2032

RAIS William Ruto sasa amekumbatia mbinu mpya ya kusaka uungwaji mkono katika eneo la Mlima Kenya akisema kuwa ‘atarudisha mkono’ mwaka wa 2032 kwa kuunga naibu wake Prof Kithure K...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Haitakuwa haki kunitema 2027, Ruto arai Mlima

RAIS William Ruto jana aliwaomba wapiga kura wa Mlima Kenya wasimwondoe madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, badala yake wamuunge mkono kwa muhula wa pili akisema ametekeleza a...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Masuala tisa yanayotatiza mrengo wa upinzani uchaguzi wa 2027

SIASA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 zimechukua mkondo mpya huku mrengo wa upinzani ukiwa na nafasi nzuri ya kumbwaga Rais William Ruto ikiwa itaungana na kumteua mgombea mmo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki, Waiguru na Ichung’wah kuvumisha upya ‘Tutam’ Mlimani

RAIS William Ruto amefanya mabadiliko makubwa katika mkakati na kikosi chake cha wanasiasa washirika katika eneo la Mlima Kenya, hatua inayolenga kuimarisha uungwaji mkono kuelekea...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’

WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Viunzi vinavyomkabili Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto kujipima nguvu ngome ya Matiang’i

Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru kaunti za Kisii na Nyamira kuanzia leo katika ziara ya siku nne inayotazamwa kama kipimo muhimu cha ushawishi wake wa kisiasa katika eneo la Gu...

Read source
nairobiwire.com /1 week ago

Matiang’i: Letting Ruto Finish One Term Is Already Generous

Jubilee Party presidential hopeful Fred Matiang’i says Kenyans are doing President William Ruto a favor by allowing his administration to complete its full term in office. Speaking...

Read source
allafrica.com /2 days ago

Kenya: Ruto Says He Will Exit If Denied Second Term, Vows No Post-Election Violence

[Capital FM] Nairobi -- President William Ruto has said he will accept it if he does not secure a second term in office, insisting that his political future ultimately rests in God...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kalonzo arai ngome yake isimwangushe: ‘Chukueni kura niweze kuwa ‘The 6th”

KIONGOZI wa Wiper Patriotic Front Kalonzo Musyoka ameongeza kasi ya kampeni zake katika eneo la Ukambani kwa kuwahimiza wakazi kujitokeza kwa wingi kujisajili kama wapiga kura, aki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Jamii ya Mulembe nao wasema watadai kiti cha Unaibu Rais kuelekea kura 2027

VIONGOZI kutoka Magharibi mwa Kenya sasa wanamtaka Rais William Ruto amchukue Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi au Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kama mgombea-mwenza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ukuruba na Uhuru na Gachagua utakavyokuwa pigo kwa Ruto Mlima Kenya

UKURUBA mpya wa kisiasa kati ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa naibu wa rais, Bw Rigathi Gachagua unaweza kubadilisha kabisa siasa za Mlima Kenya na kuathiri mipango ya R...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto atumia ‘tamtam’ Gusii kukabili ushawishi wa Matiang’i

RAIS William Ruto sasa analenga kutumia miradi ya mabilioni kumaliza ushawishi wa aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiangí eneo la Gusii. Kiongozi wa nchi leo anamal...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto ana kibarua kigumu kuvumisha Tutam Wakenya wakikabiliwa na gharama ya juu ya maisha

UCHAGUZI Mkuu wa 2027 umeibua hali ya kipekee katika siasa za Kenya. Rais William Ruto anaingia katika kipindi cha mwisho cha muhula wake wa kwanza akiwa amepoteza sehemu kubwa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Ruto: Tanzania itazivuka changamoto zake

Kauli ya Dk Ruto, inakuja miezi saba tangu zilipotokea ghasia nchini wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana na kusababisha mauaji ya watu na uharibifu w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Orengo: Niko tayari kupambana na Ruto 2027

GAVANA wa Siaya James Orengo jana alitangaza azma yake ya kugombea urais mwaka 2027, hatua inayoashiria mwanzo wa kile ambacho wachanganuzi wanasema ni mkakati mkali dhidi ya Rais...

Read source
nairobiwire.com /3 weeks ago

Ruto Announces Major Change in School Capitation Funds Ahead of New Term

President William Ruto has announced a major change to how schools receive money, promising to release capitation funds before the start of every term. Speaking on Sunday, May 3, 2...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ruto asema anaomba hatimaye Mlima ‘utalegea’ na kumsaidia kupata ushindi

RAIS William Ruto jana alisema kuwa japo Mlima Kenya unaonekana kuwa mgumu katika juhudi zake za kuchaguliwa tena mwaka wa 2027, anaamini kwa uwezo wa Mungu, hatimaye “utalegea” na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sitakupigia magoti Mlima Kenya, Ruto aambia Gachagua

RAIS William Ruto amemjibu vikali aliyekuwa Naibu wake na kiongozi wa Democracy for the Citizens Party Rigathi Gachagua, akisema hatompigia magoti ili kupata kura za Mlima Kenya....

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

‘Mt Kenya Must Not Abandon the House’: Waiguru, Kindiki Promise Bigger Rewards for Backing Ruto

Deputy President Kithure Kindiki and Kirinyaga Governor Anne Waiguru have pledged a united front to consolidate support from the Mt. Kenya region for President William Ruto’s 2027...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto: Nitawanyamanzisha wakosoaji wangu

RAIS William Ruto amesema serikali yake itatekeleza miradi ya maendeleo ili kujibu wakosoaji wanaomshutumu kwa kutoa ahadi zisizotekelezeka. Akizungumza Taita Taveta, Rais alise...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki ajipange? Ndoto ya Joho kuwa naibu wa Ruto yapigwa jeki

VIONGOZI wakuu katika Chama cha ODM wamekubaliana na wanasiasa wanaomtaka Waziri wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika Uc...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto amlima Gachagua akimrejelea kama dikteta

RAIS William Ruto jana aliendelea kumshambulia aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimshutumu kwa kukandamiza haki na uhuru wa kidemokrasia wa wakazi wa Mlima Kenya. Kiongoz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mudavadi: Ruto atashinda kwa kura asilimia 70 mpaka iwe vigumu kupeleka kesi kortini

KINARA wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameonyesha imani yake kuwa Rais William Ruto atashinda 2027 kwa zaidi ya asilimia 70. Akiongea kwenye mahojiano na kituo kimoja nchini Jumatatu...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Mikakati Ya Ruto Two Term

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source